nafasi za uhadhiri UDOM

majeshi 1981

JF-Expert Member
Dec 7, 2013
2,090
812
Wanajamvi naomba kwa mwenye taarifa anijulishe ni lini UDOM watatangaza nafasi za kazi kwa upande wa teaching staff? ninashauku sana ya kulitumikia taifa langu katika kazi hii
 
waliopo wanatosha hata wengine tunataka kuwatimua
 
Wanajamvi naomba kwa mwenye taarifa anijulishe ni lini UDOM watatangaza nafasi za kazi kwa upande wa teaching staff? ninashauku sana ya kulitumikia taifa langu katika kazi hii

waliopo wanatosha hata wengine tunataka kuwatimua.KWAN MPAKA UDOM TU??
 
waliopo wanatosha hata wengine tunataka kuwatimua.kwan mpaka udom tu??

mkuu acha chuki binafsi nchi hii ni ya kwetu sote, mnafukuza angali nasikia chuo kizima vijana wa kitanzania wanafundishwa na degree holder wenzao?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom