Nafasi za udereva | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi za udereva

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by SYENDEKE, Nov 23, 2011.

 1. SYENDEKE

  SYENDEKE Senior Member

  #1
  Nov 23, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  wana JF mimi ni dereva mwenye license class C old vesion na license mpya ninaendesha magari yote isipokuwa PSV, Tractor na mitambo pia nina cheti cha NIT Advanced Driving VIP course GRADE 11. Licence yangu iko safi sina criminal offence imetolewa 2006 niko tayari kufanya kazi popote tanzania

  NAOMBA MSAADA WENU KWA YEYOTE MWENYE KAZI AU ANAYEFAHAMU ISSUE
   
Loading...