Nafasi za masomo ya ualimu ngazi ya cheti na stashahada zimetoka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi za masomo ya ualimu ngazi ya cheti na stashahada zimetoka

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Echikaka, Jul 4, 2011.

 1. E

  Echikaka Member

  #1
  Jul 4, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Ni kweli nafasi za ualimu ngazi ya CHETI na STASHAHADA zimetoka?
   
 2. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  nenda moe.go.tz; watakuwa na majibu
   
 3. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #3
  Jul 4, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Bado hazijatoka, mchakato wa kuchagua wenye sifa bado unaendelea. Nakushauri uwe unatembelea website ya wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi mara kwa mara. Website ni www.moevt.go.tz
   
 4. n

  nkomelo JF-Expert Member

  #4
  Jul 8, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 212
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  hapo kwenye red umkempeleka chaka

   
Loading...