lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 16,427
- 21,870
Wakuu wa jamii
Kuna chuo cha madini Shinyanga kinatangaza nafasi za masomo ya Utafiti wa madini ngazi ya diploma kuanzia Octoba 2012. Wahi mapema, nafasi ni chache. Chuo kinaitwa Earth Sciences Institute of Shinyanga (ESIS), kimesajiliwa na NACTE kwa namba ya usajili REG/EOS/041P.
Ukipata ujumbe huu mwambie na mwenzako
Maelezo zaidi
email: info@esis.ac.tz
Application for Exploration and Mining Geology Course is Now Open » Earth Sciences Institute of Shinyanga