Baby Nimah
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 701
- 747
, SUMBAWANGA WIZARD TRAINING COLLEGE, P.O.BOX 27, RUKWA.
02/02/2019
Ni chuo bora kwa mwaka 2019 kina mazingira mazuri ya kujifunzia, kuna vifaa vingi vya kumwezesha mwanafunzi ajifunze kwa vitendo.chuo kinatoa kozi zifuatazo
1.KUWANGA(mwaka1)
2.KURUSHA UNGO(miezi7)
3.KUTUNZA MISUKULE.miez5
4.KUROGA Mwaka1 Vile vile Chuo Kimetoa Mchawi Bora Kimkoa ambae Ni Huyu Anaesoma sms hii, Mlete Ndugu Yako Kwan Nafasi ni Chache. Ukipata taarifa hii mtarifu na mwingine
Imetolewa na MKUU WA SHULE mashana JR