THE GREAT CAMP
JF-Expert Member
- Jun 29, 2012
- 765
- 194
Wizara ya Afya wametangaza nafasi za masomo kwa ngazi ya Stashahada(diploma) na Certificate (Cheti) kwa kozi mbalimbali za Afya. Wadogo zetu changamkeni kutuma maombi. Soma hapa kwa maelezo zaidi MAOMBI YA NAFASI ZA MAFUNZO MWAKA WA MASOMO 2013/14