Nafasi za masomo!!! Nafasi za masomo!!!! Nafasi za masomo!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi za masomo!!! Nafasi za masomo!!!! Nafasi za masomo!!!!!

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by sunday isdory, Aug 15, 2011.

 1. s

  sunday isdory Member

  #1
  Aug 15, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nafasi za Masomo !
  CHUO CHA UALIMU KIHINGA

  Chuo cha Ualimu Kihinga ni chuo cha binafsi kinacho waandaa wanafunzi kuwa waalimu bora katika shule za sekondari. Chuo kinatoa mafunzo ya hali ya juu na kina waalimu waliobobea katika fani ya ufundishaji na masomo ya ziada kama komputa na stadi za jamii. Hakuna mabweni ya wanafunzi kwa sasa, wanafunzi watakuwa wa kutwa ikiwa na maana kwamba watajitafutia malazi na chakula. Barua za maombi zinakaribishwa kwa wote wenye sifa katika mafunzo ya stashahada (Diploma) kabla ya tarehe 28/08/2011
  STASHAHADA YA UALIMUSifa za kujiunga kwa wanafunzi watarajali: 1. Kidato cha sita akiwa amefaulu Principal Pass 1 na subsidiary pass 1 kwa masomo yanayofundishwa sekondari kidato cha 1-42. Kidato cha Sita na kufaulu kiingereza katika kidato cha 4 kwa alama A, B, C and D Sifa za kujiunga kwa wanafunzi waliopo kazini:1. Cheti cha ualimu daraja la III na awe amefanya kazi kwa zaidi ya muaka 1.2. Kidato cha sita na principal pass I na subsidiary I kwa masomo yanayofundishwa sekondari kidato cha 1-4. Fomu za maombizinapatikana shule ya sekondari Kihinga au kutumia barua pepe baada ya kupokea ada ya Shs. 10,000/= kwa kuiweka kwenye akaunti Na. 0150087144204 Kihinga TTC CRDB. TUMA BARUA YA MAOMBI, ANUANI KAMILI, CV NA NAKALA YA VYETI KWA: Mkuu wa Chuo,
  Chuo cha Ualimu, Kihinga
  S.L.P 270
  Kigoma, Tanzania.

  Simu: 0759192671, 054767490, 0784 425 399 Barua pepe: kihingattc.principal@boc-tz.org
   
 2. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  haya tena wasomi
   
 3. M

  MWENDAKULIMA JF-Expert Member

  #3
  Aug 15, 2011
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 961
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Mkuu hii taasisi na ile NEWMAN COLLEGE zina utofauti au muliamua kupanua wigo wa kutoa Elimu? maana nakumbuka hii location ndo ilikuwepo hiyo shule
   
 4. s

  sunday isdory Member

  #4
  Aug 15, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tumepanua wigo kaka karibu sana
   
Loading...