Nafasi za masomo-kiboriloni moshi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi za masomo-kiboriloni moshi

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by NGULI, Sep 16, 2010.

 1. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #1
  Sep 16, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  NAFASI ZA MASOMO
  *Chuo maalum kwa ajili ya kutoa ajira za chapchap kimefunguliwa hapa Kiborloni,
  Chuo Kimesajiliwa na VETA na kina waalimu waliobobea katika nyanja zote
  Chuo kinapokea maombi kwa wanafunzi waliomaliza darasa la saba kwa ajili ya kozi zifuatazo:*

  *1.** **Ulevi Mwezi mmoja;*

  *2.** **Ujambazi miezi sita;*

  *3.** **Kuchoma mtu kisu wiki moja;*

  *4.** **Kuchoma nyama kwenye baa miezi miwili;*

  *5. Kung’arisha viatu wiki tatu (maalum kwa vijana wa Rombo);*

  *6.** **Kuuza duka miezi mitatu;*

  *7.** **Kurekebisha mipaka ya kiwanja cha jirani miezi minne;*

  *8.** **Kupata mume msomi na mwenye wadhifa mkubwa miaka miwili;*

  *9.** **Kufuga ng’ombe mwaka mmoja;*

  *10.** **Kuendesha pick-up miezi minne;*

  *11.** **Kugombea udiwani miaka miwili;*

  *12.** **Kuendesha pikipiki za bodaboda na bajaji wiki sita;*

  *13.** **Kuchakachua mafuta mwaka mmoja;*

  *14.** **Kupata kazi TRA miezi mitatu;*

  *15.** **Kukwepa kodi wiki nane; na
  *16.** **jinsi ya kuishi eneo la Kimara, Dar es salaam.*

  *17.** **Kukatisha tiketi kwenye magari ya Moshi, Dar na Arusha ni bure;*


  Mwanafunzi lazima awe mchaga wa kuzaliwa pia baba na mama yake wawe wachaga, mwenye elimu ya msingi na asizidi miaka 18

  mwisho wa kupikea maombi ni kabla ya krismasi ya mwaka huu

  Nafasi za malazi zipo
  *Watakaojiandikisha mapema watafundishwa bila malipo,
  Barua kwa anuan hii  chuo

  box 13334

  Kiborloni
  Moshi.  Elisaria Mboroo

  Mkuu wa chuo
   
 2. a

  allydou JF-Expert Member

  #2
  Sep 16, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 1,484
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  Kaazi kwelikweli,
   
 3. FormerGenius

  FormerGenius Member

  #3
  Sep 16, 2010
  Joined: Mar 18, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ha haaaa....nimeipenda hiyo no.14...ndio maana jamaa wako wengi pale
   
 4. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #4
  Sep 16, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Wanajua sana hesabu hawa watu
   
 5. Smarter

  Smarter JF-Expert Member

  #5
  Sep 16, 2010
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 455
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Na Nafasi za wakufunzi?
   
 6. senator

  senator JF-Expert Member

  #6
  Sep 16, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Dah kweli Hiki chuo babkubwa huyo Mkuu wa chuo nae noma!
   
 7. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #7
  Sep 19, 2010
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  aiiiiiiiiiiii! wachaga mpo?
  watoto washamaliza std 7 tayari.
   
 8. A

  August_Shao Senior Member

  #8
  Sep 21, 2010
  Joined: Nov 23, 2007
  Messages: 158
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  unajua wachaga tunaandamwa sana.......ila thats what makes us grow stronger and stronger and become unstopable
   
 9. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #9
  Sep 21, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,860
  Likes Received: 23,476
  Trophy Points: 280
  Bado nafasi zipo kwenye namba 5 na namba 10?
   
 10. p

  pierre JF-Expert Member

  #10
  Sep 21, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 211
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kyeleuwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ai ai,hii ni kali sana.Wachaga vipi tena ndugu zanguni?Mbona mambo yanawaandama nyie tu?Vipi uraisi na uenyekiti wa chama?na kitimoto?
   
 11. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #11
  Sep 21, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160
  Leo siku yangu imekuwa nzuri kweli maana nimecheka nusu nizimie hasa hapo kwenye namba 4, 7 na 17 nimeshakumbana nao mara kibao
   
Loading...