Nafasi za kusoma kidato cha tano na sita | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi za kusoma kidato cha tano na sita

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by IPILIMO, Mar 19, 2013.

 1. IPILIMO

  IPILIMO JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2013
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,686
  Likes Received: 317
  Trophy Points: 180
  Habari wadau wa elimu!
  Matokeo ya kidato cha nne 2012 yalishatoka, yaliyo tokea ni DEBATABLE ISSUE, lakini tunapaswa kuganga yajayo huku tukitafakari nini cha kufanya, MAANA maisha yanasonga.
  ITENDE HIGH SCHOOL iliyopo Mbeya mjini inatangaza nafasi za kujiunga na kusoma kidato cha 5 kwa maelezo yafuatayo;

  • Tunapokea wanafunzi wenye CREDIT 1 au 2 kwa mpango maalumu wa kuwasaidia waweze kupata credit za kutosha kufanya NECTA F.6. ( Wanafunzi wawe walimaliza au kufanya mitihani ya kidato cha NNE kati ya mwaka 2011 na 2012.)-PROGRAM YAO INAANZA APRIL 2, 2013
  • Tunapokea WANAFUNZI wenye CREDIT 3 na kuendelea, bila kujali kubalance kwa Combinations husika. ( wanafunzi wawe wamemaliza au kufanya NECTA f.4 kati ya mwaka 2009 na 2012), MASOMO YA AWALI YATAANZA APRIL 2, 2013, NA MUHULA UTAANZA July 1, 2013.
  • Tunapokea wanafunzi wa kuhamia kidato cha 6, mhula wa kwanza-July 2013 (punguzo kubwa la ADA kwa ajili yao)
  • Michepuo iliyopo ni HGL, HGK, HKL & HGE
  • KUNA PUNGUZO KUBWA LA ADA KWA MWAKA HUU WA MASOMO ( SH 300,000 KWA MWAKA)
  WAHI SASA KUJISAJILI KWA KUCHUKUA FOMU-SH 10,000. UKIWA MBALI NA MBEYA MJINI FOMU YAKO ITATUMWA KWA EMAIL.

  KWA MAWASILIANO TAFADHARI PIGA AU MESEJI 0754734009
   
Loading...