nafasi za kusambaza flyers or bronchures za events

QUOTE=RogersNtagara how am i going to reach there? and how much am i going to be paid

hili nao neno hebu jibu ndugu
 
Mcheck na huyu dogo pia yuko tayar ingawa sijajua vigezo 0719297747/0766619183
 
Co kusambaza maofisini ni barabarani waambie ukwel tu na payment inategemea ukienda kichwa utalipwa hta elfu tatu
 
hii ndo ile ya kwenye magari na stend na sio maofisini

sasa si waseme ukweli tu kudadeki kuna wengine wapo external ubungo wanasema wanawapatia watu kazi viwandani kumbe ni uzushi tu wanatafuta wamachinga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom