Nafasi za kujiunga na kidato cha tano zimechelewa mno

mfate42

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
3,768
4,259
Kwa mwaka Jana Hali ilikuwa tofaut kidogo, post zilitoka mapema sana.ila mwaka huu mambo ni tofaut kabisa. Hadi mdahuu no posts.

Kitu gan kinakwamisha?
 
Back
Top Bottom