Nafasi za kujitolea JKT huwa zinatoka wakati gani?

Jakata ni noma mazeee!!!
Sio kwa mzik ule!!!!!..

Doso la kutosha!!

Kilimo Cha mkolon kilipo mpka leo:

Kipawatila Cha jeshi!!!

Nyumban kwao maovyoovyo!!

Maisha ya stress kuwaza mabogi ukiwa service:

N.B
Ukitoka j.k.t wa Moto...kwingine ni kuangushia tu..hata JW!../
 
Hatar bablai kwahyo bado haifahamiki nafasi zitatoka mwez wa ngap
 
Back
Top Bottom