Nafasi za kuingia bachelor kwa waliomaliza diploma 2012, NACTE na TCU mtatupa nafasi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi za kuingia bachelor kwa waliomaliza diploma 2012, NACTE na TCU mtatupa nafasi?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by itagata, Aug 6, 2012.

 1. i

  itagata JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 201
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Wana JF

  Mimi ni mmojawapo wa watu waliomaliza Diploma mwezi June mwaka huu, na mpaka matokeo yanatoka tayari muda wa kuomba kupitia mfumo wa CAS, ulioendeshwa na TCU ulikuwa umepita, sasa napenda kuwauliza wadau kama kuna mtu ana taarifa za sisi kupewa nafasi nyingne ya kuomba kujiunga na masomo ya shahada mwaka huu.

  naomba mwenye taarifa anijuze maana mtaani hakufai ni bora kurudi shule kuongeza elimu.
   
 2. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 160
  Tcu wanamfumo mbovu sana! Ila ndugu kaangalie hata kwenye jeshi la wananchi wa tz! Unaweza pata kazi!
   
 3. malema 1989

  malema 1989 JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 848
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  umehitimu diploma gani?
   
 4. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #4
  Aug 6, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 160
  Mim ni f6 liva! Oya itagata kama umemaliza fani za sc,manunuzi,uhasibu omba jeshini maana huwa wanatakaga watu wny ujuzi
   
 5. i

  itagata JF-Expert Member

  #5
  Aug 6, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 201
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  nimehitimu diploma in development planning
   
 6. i

  itagata JF-Expert Member

  #6
  Aug 6, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 201
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Sijahitimu mojawapo ya fani ulizotaja hapo juu, mie nimehitimu Diploma in Development Planning
   
 7. UKI

  UKI JF-Expert Member

  #7
  Aug 7, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  fuatilieni vizuri yaani kila kitu walieleza kwenye website yao na watu wakaelewa kabisa sijui mkuu uliona uvivu kuperuzi? kwa wanafunzi waiomaliza diploma matokeo yao yalikuwa yanatoka kabla ya mwezi wa tano wanaweza kuomba kusoma kupitia TCU ila wengine woote watakaomaliza baada ya hapo watasubiri mwakani kuomba kupitia TCU tangazo hili lilkuwepo kwenye website ya TCU toka february 2012. nilikuwa nafuatilia hili maana kuna mdogo wangu huko nae amemailza diploma ndio nikayajua haya.
   
 8. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #8
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Jamani si hua kuna second application??
   
 9. mhalisi

  mhalisi JF-Expert Member

  #9
  Aug 7, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,181
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  mkuu UKI nilisikia watu wenye diploma wanaotaka kuapply vyuo walitakiwa wakavisajili vyeti vyao NACTE. je,uliisikia hii taarifa?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. UKI

  UKI JF-Expert Member

  #10
  Aug 7, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  hii niliisikia ila ninavyoelewa mimi ni kwa wale ambao wenye vyeti tayari mkuu na kumbuka ukimaliza cheti kinatoka baada ya miezi miwili wengine zaidi. halafu sijui kama zoezi hilo lilifanyika kwa wanachuo au lah ila ninavyojua necta na tcu wanashirikiana kwa kupata data sahihi na kwa kupitia chuo husika kufanya uhakiki kama kweli ulisoma hapo au lah.
   
 11. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #11
  Aug 7, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  diploma??
   
Loading...