ArushaHapa kuna picha za walinzi wa CHADEMA wakiwa na miwani yao ya kuchomelea magrill nafasi zao za kazi hutangazwa wapi?
View attachment 477445
Ndani ya chadema kila mtu kamanda,lakini zile za ccm huwa zinatangazwa???Hapa kuna picha za walinzi wa CHADEMA wakiwa na miwani yao ya kuchomelea magrill nafasi zao za kazi hutangazwa wapi?
View attachment 477445
Hahaaaa nsfHiyo ni nyumbu special force, wana uwezo wa kuishi siku saba wakiwa na maboksi 30 ya viroba kila mmoja, pia ni walinda kura za mwenyekiti