Nafasi za kazi za leo; mjulishe na nduguyo pia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi za kazi za leo; mjulishe na nduguyo pia

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Elli, May 9, 2011.

 1. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #1
  May 9, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  NEW NATIOANL BABU HOSPITAL (LOLIONDO)
  Inatangaza nafasi za kazi kama ifuatavyo
  1. Kuchochea kuni nafasi 50
  2. Wabeba ndoo za maji nafasi 15
  3. Kubeba mizizi na majani ya dawa toka porini nafasi 3
  4. Kutunza jero jero za Babu nafasi 2 tu

  Qualification

  Vigezo vya jumla ni Uaminifu wako tu
  Barua toka kwa Kiongozi wako wa dini
  Hakuna Uzoefu wa kazi unaohitajika.

  Kwa mawasiliano zaidi, fika mwenyewe Kijijini Samunge  N.B: Enjoy your Day, msifikirie sana kuhusu nchi kukosa mishahara
   
Loading...