Nafasi za kazi za kampuni ya Britam sio za utapeli?

Tabora yetu

Senior Member
Sep 13, 2014
139
21
Kampuni ya Britam ; ilitangaza nafasi za kazi hapa Tabora mjini, pamoja na maswala mengine kampuni hii toka jana na leo imeanza kuwajibu waombaji,kuwa wanatakiwa waje na vyeti na Cvs zao , semina na maelekezo ya kazi ni tarehe 23-12-2016 milambo sekondari tabora mjini saa 4:00 asubuhi ila britam wanataka kila mwombaji atume tsh 13000 kwa mpesa no.0766287427. kwa ajiri ya gharama za vitambulisho . Suala ni kwamba hakutakuwa na utapeli hapo?. msaada na ushauri wenu.
 
BABAKOO LIKUPELEKA SHULE KUSOMA KUCREAM JIONGEZE
 
Interview mmefanya saa ngapi na selection imefanyika lini? kuwa makini utaliwa pesa bure hakuna kitambulisho cha 13,000.
mwaka flan nliomba.kazi.kupitia zoom .
Kuna fala mmoja akatuma msg eti ntumie 20000 ili anipe maswali ya interview.

nikampa majibu kuwa Mimi nmefanya mitihani.mingi sna Toka chekechea adi chuo siwai kufeli, kwahyo nkiitwa kwa interview nitajibu maswali yote.kwa ufasaha
 
we ulishaona wapi unapewa kitambulisho cha kazi hata mkataba haujasaini toka umeanza chekechea mpaka hapo ulikua unapewa kitambulisho cha shule kabla ya kusajiliwa utaliwa pesa wewe kua makini hao ni matapeli 100%
 
Kampuni ya Britam ; ilitangaza nafasi za kazi hapa Tabora mjini, pamoja na maswala mengine kampuni hii toka jana na leo imeanza kuwajibu waombaji,kuwa wanatakiwa waje na vyeti na Cvs zao , semina na maelekezo ya kazi ni tarehe 23-12-2016 milambo sekondari tabora mjini saa 4:00 asubuhi ila britam wanataka kila mwombaji atume tsh 13000 kwa mpesa no.0766287427. kwa ajiri ya gharama za vitambulisho . Suala ni kwamba hakutakuwa na utapeli hapo?. msaada na ushauri wenu.
Hapo waibiwa mchana kweupe, kuwa makini ndugu
 
Hakika kila kukicha hali inakuwa ngumu zaidi
Niwaombe nyie matapeli tafuteni shamba kwa ajili ya kilimo musimu wa mvua ndo hyo unawadia
 
Hakuna kazi hapo amka ukishaona unaambiwa pesa tena tuma juwa hamna kazi hapo utatengenezewaje kitambulisho wakati hata kazi hujapata. .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom