Nafasi za kazi ya ualimu

Zambotti

JF-Expert Member
Jul 2, 2016
1,961
3,592
Natafuta walimu wawili tu, wawe na uwezo wa kufundisha primary level masomo ya science, mathematics na social studies kuanzia class three mpaka seven. Shule ni English medium iko kivule, Ilala Dar es salaam.

Muombaji na uwezo wa kuongea, kuandika na kuzungumza kiingereza. Awe amesoma ualimu kwa ngazi ya diploma au degree.

Muombaji akitokea maeneo ya Kitunda, Banana, au Ukonga Mombasa itapendeza zaidi. Fanya tuwasiliane, kesho uje ufanye interview.

Shule ni ya dini ya kiislamu Muombaji awe muislamu ili kuepusha migongano ya itikadi.

Nipigie 0628368636.
 
Hupatikani kwa hewa kiongozi

Nipigie 0
 
Mimi mpagani naweza tuma maombi pia au mgongano wa kidini uko pale pale?
Dini zingine watasababishaje mgongano wa kiitikadi?
 
Natafuta walimu wawili tu, wawe na uwezo wa kufundisha primary level masomo ya science, mathematics na social studies kuanzia class three mpaka seven. Shule ni English medium iko kivule, Ilala Dar es salaam.

Muombaji na uwezo wa kuongea, kuandika na kuzungumza kiingereza. Awe amesoma ualimu kwa ngazi ya diploma au degree.

Muombaji akitokea maeneo ya Kitunda, Banana, au Ukonga Mombasa itapendeza zaidi. Fanya tuwasiliane, kesho uje ufanye interview.

Shule ni ya dini ya kiislamu Muombaji awe muislamu ili kuepusha migongano ya itikadi.

Nipigie 0628368636.
Mkuu,kwa taarifa yako kuna kozi ya ualimu wa English Medium (Grade A)inatolewa katika vyuo vya serikali.Na kuna wahitimu wapo tayari mtaani,watafute hao kwani watoto ndio wateja wao halisi.Kwa Diploma na Degree si vibaya kuwachukua lakini mtaala wao waliopitia ni kwa ajili ya Secondary schools.Ushauri tu.

Pitia matokeo yao ya mwaka huu hapo chini.Kama unataka connection na baadhi yao nitafute.View attachment 2055811
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom