Nafasi za kazi ya sensa kilolo kinzani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi za kazi ya sensa kilolo kinzani

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mbunge wa ilula, Jul 22, 2012.

 1. M

  Mbunge wa ilula JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2012
  Joined: Jun 3, 2012
  Messages: 212
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kweli kuna fununu kuwa form za kazi hii wamepewa watendaji wa kata lkn mpaka sasa hakuna tangazo la upatikanaji wa form
   
 2. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2012
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,865
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Download hii fomu, uijaze na kupitishiwa na viongozi wa mtaa / kata halafu uipeleke katika ofisi ya halmashauri ya wilaya yako / unakopenda kufanya kazi ya kuhesabu watu. Zingatia kuwa fomu iliyojazwa iwe imesalishwa kunako 25 July 2012:

   

  Attached Files:

Loading...