Nafasi za kazi - Wauguzi 8 Wanahitajiwa Kagera Sugar Hospital | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi za kazi - Wauguzi 8 Wanahitajiwa Kagera Sugar Hospital

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Ta Muganyizi, Jan 18, 2011.

 1. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #1
  Jan 18, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,137
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Nafasi za kazi
  Nurses – 8 posts (Closing date 03rd Feb 2011)
  Registered Nurses – Nafasi 4
  Enrolled Nurses – Nafasi 4
  Mahali – Kagera Sugar Hospital
  Mshahara mzuri, Nyumba za kuishi zipo, Mazingira Mazuri.


  Contacts
  Geofrey Alexander
  P.O.BOX 1603
  BUKOBA
  O754 - 918212
  AU
  Tuma CV na vyeti kupitia
  alexmuganyizi@gmail.com
   
 2. Chona

  Chona JF-Expert Member

  #2
  Jan 18, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 514
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  Avator yako inatoa wasiwasi kwa wale wanaotaka hizo nafasi. Ukizingatia ni kwa kina katelelo duuh kazi ipo.
  Kwanini wasitume kwa anuani ya kampuni?
  Hata hivyo wao wataamua ukweli wa habari hiyo nisiwapangie.
   
 3. bakuza

  bakuza JF-Expert Member

  #3
  Jan 18, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  asante ta Muganyizi zidi kutuhabarisha kila nafasi unazoziona hata za fani zingine.
  Msaada mkubwa huo maana maisha ya Bongo isiyo na uongozi hata gazeti wengine kununua ni ngumu maisha yalivyobana.Big-up
   
Loading...