why maaan?
Wameshafanyiwa usaili na mwezi wa 12,wanaanza kazi
why maaan?
Sina kazi lakini hii ya kwako duh!inantia shaka,wala sitajaribu.[/QUO
maamuzi yako ni matokeo ya keshoooo amua vema upate memaaaa! kumbe zinduna siyo mtotooooo kumbe zinduna ni jokaaa kubwaaaaaaaaa
naungana nawe olyset inabidi kuwa makini na kazi zinazowekwa humu ktk blog.
Wameshafanyiwa usaili na mwezi wa 12,wanaanza kazi
An international company from Shengzen is looking for motivated candidates for sales and marketing positions...satisfactory salary will be offered to the successiful candidates! send your cv to hr@wabantu.com
hebu mwenye uzoefu na kampuni hii naomba atueleze inajihusisha na nini