Nafasi za kazi: Wanahitajika urgenly

Sina kazi lakini hii ya kwako duh!inantia shaka,wala sitajaribu.[/QUO
maamuzi yako ni matokeo ya keshoooo amua vema upate memaaaa! kumbe zinduna siyo mtotooooo kumbe zinduna ni jokaaa kubwaaaaaaaaa
naungana nawe olyset inabidi kuwa makini na kazi zinazowekwa humu ktk blog.
 
Hawa jamaa wamenipigia simu niende for interview jumatatu saa 4 asubuhi pale dsm.Sasa nilipowaambia nipo Arusha wakasema haya siku nyingine.Sasa inamaanisha hawataki watu wa mikoani au?
 
Unajua hata mimi nlipigiwa cmu na hawa jamaa wakat niko arusha i failed to attend the interview pia cjua wana deal na nin? mwenye taarifa atupatie huenda tukaitwa tena Mungu si athumani
 
An international company from Shengzen is looking for motivated candidates for sales and marketing positions...satisfactory salary will be offered to the successiful candidates! send your cv to hr@wabantu.com

Shukran mkuu! Actually mji waitwa shenzhen ...


Tegemea CV zilizoshiba..
 
hebu mwenye uzoefu na kampuni hii naomba atueleze inajihusisha na nini

wanasambaza mabaunsa kwenye mabaa na mahotel
nb: umeisha ambiwa watu wameisha fanyiwa usaili, wewe umekazana wanafanya nini, ebu focus na mambo mengine hachana na hawa jamaa
 
hii ni kali sasa hiyo company iko maeneo gani hata waseme kazi siyo hivyo
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom