Nafasi za kazi University of Dar es Salaam (Immediate vacancies)

Wasalaam,
Hizi nafasi nasikia watu walisharipoti kazini sasa ni wiki ya tatu kuna mtu yeyote amepata habari kutoka vyanzo vyake vya karibu.Mimi kuna rafiki wa Dogo langu alimwambia ameitwa kufundisha Assistant Lecture,sasa nimeulizia alifanya usaili lini zimekuwa chengachenga basi nikawa mpole tu.Je? kuna yeyote ambaye Ndugu, Jamaa na Rafiki amepata hizo kazi au mchakato wake bado unachakatwa.?
 
Kuna jamaa wa food science na BVM wameitwa tayari..
 
UDSM na undugulization ni kama maji na samaki..yana kama jina lako halijafanana na wa kina ruge nand ze likes..sahau kulata kazi pale..narudia tena sahau..
 
Wasalaam,
Hizi nafasi nasikia watu walisharipoti kazini sasa ni wiki ya tatu kuna mtu yeyote amepata habari kutoka vyanzo vyake vya karibu.Mimi kuna rafiki wa Dogo langu alimwambia ameitwa kufundisha Assistant Lecture,sasa nimeulizia alifanya usaili lini zimekuwa chengachenga basi nikawa mpole tu.Je? kuna yeyote ambaye Ndugu, Jamaa na Rafiki amepata hizo kazi au mchakato wake bado unachakatwa.?
It is not true, interview bado kabisa. Wanaweza wakafanyaga madudu yao wakishawafanyia watu interview, maana kuita kazini si wanafanya siri, so kama ni hayo uliyoandika, basi usubiri yatokee baada ya interview

Ingawa ulichosema kinaweza kuwa na ukweli, maana ni miezi mitatu inaelekea tangu, tangazo litolewe
 
Mbona mkuu wa chuo sio hata nshomile siku hiz lakin bado wamejaaa Sana.

Sasa kama other tribes hampati GPA nzr Nani awaajiri?
 
It is not true, interview bado kabisa. Wanaweza wakafanyaga madudu yao wakishawafanyia watu interview, maana kuita kazini si wanafanya siri, so kama ni hayo uliyoandika, basi usubiri yatokee baada ya interview

Ingawa ulichosema kinaweza kuwa na ukweli, maana ni miezi mitatu inaelekea tangu, tangazo litolewe
Kweli imefanyika kwa kificho kikubwa sana.Haiwezekani taarifa za usaili zisienee lakini kuitwa kazini ndiyo tuzipate.Lakini huyo aliyenipa taarifa ni uhakika kabisa anasema last time alikuwa ameomba ASSISTANT LECTURE 2018,,,,Sasa eti Mwaka huu aliambiwa omba kwanza TUTORIAL ASSISTANT ili ukiingia kwenye system wanampandisha within short time
 
Lakini inawezekana huyo alikuwa na special case, maana nilisikia kwamba hawajaita mpaka sasa kutokana na kukosa pesa ya kufanyia interview.

Nimehisi kwamba, kama wanaowaita ni assistant lectures, basi inaweza ikawa sababu ni kwamba mtu ameomba peke yake labda na hiyo nafasi aliyoomba inademand kubwa kwenye department yake, so wameona ni bora wawaite mapema, huku sisi wa tutorial ambao hatuhisiki sana kwenye kufundisha, wakaona watusubirishe mpaka interview.

Ila kama wanaoitwa ni pamoja na tutorials, basi kuna walakini.
 
Duuh! na ka GPA kangu cha tatu point sita kutoka chuo ambacho grade zao zipo juu yaani A=80, 70=B+ huwa nikiona haya matangazo yanataka 3.8 tu huwa naumia kweli ila ndio wapo waliofikisha watapata kazi.
 
Labda nikumbie tu kwamba, hiyo ni minimum, ila kwa sasa hivi watu wengi wanaufaulu mkubwa sana kuanzia nne point so bado uko mbaali. Inabidi usubirie zile za vyuo vinavyoanza na 3.5

Any way, Ni chuo gani hicho ambacho A=80?
 
Kwa Watakatifu wa Roma mkuu, Saint Augustine University of Tanzania Mwanza.
 
Wasalaam,
Hizi nafasi nasikia watu walisharipoti kazini sasa ni wiki ya tatu kuna mtu yeyote amepata habari kutoka vyanzo vyake vya karibu.Mimi kuna rafiki wa Dogo langu alimwambia ameitwa kufundisha Assistant Lecture,sasa nimeulizia alifanya usaili lini zimekuwa chengachenga basi nikawa mpole tu.Je? kuna yeyote ambaye Ndugu, Jamaa na Rafiki amepata hizo kazi au mchakato wake bado unachakatwa.?
Hii ilikuwa kamba au ni kweli kwa mliofuatilia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna kitu hapo,,,ukiona kimya ndiyo hivyo jua Ombi lako halikufanikiwa kupita.Imagine SUA walitangaza na watu walishaitwa usaili mwezi huu mwanzoni.Na waliweka wazi majina ya walioitwa kwenye usaili.Lakini hao wazee wa kupiga simu tumeshindwa kuwaelewa mpaka sasa

Hata wale wa NIT kazi zilitoka mwezi wa kumi kupitia utumishi, na juzi tar 26 wakaitwa kazini. Sasa hawa jamaa wametoa matangazo ma3 na hawajaita mtu kwenye interview. Inawezekana ikawa ndio imeisha hivi hivu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom