Nafasi za kazi United Nations | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi za kazi United Nations

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by kinetiq01, Jun 17, 2009.

 1. kinetiq01

  kinetiq01 Member

  #1
  Jun 17, 2009
  Joined: Aug 25, 2006
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 2. c

  cesc Senior Member

  #2
  Jun 17, 2009
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 156
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  thanks mkuu ngoja tujaribu bahati yetu
   
 3. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2009
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kwa yeyote anayefikiria kuomba kazi UN, post za G, ni kwa national tu, kama nafasi ipo Kenya, basi ni mkenya tu anayeweza kuomba hiyo kazi.
   
 4. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #4
  Jun 17, 2009
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
 5. g

  geek Member

  #5
  Jun 17, 2009
  Joined: Feb 12, 2009
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Freetown kama ulikuwa ukijua mbona hukuweka hizo ajira kabla tuzione? Au ndiyo ulidhani kila mtu anajua zinapatikana wapi...
   
 6. Kafara

  Kafara JF-Expert Member

  #6
  Jun 18, 2009
  Joined: Feb 17, 2007
  Messages: 1,392
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  freetown, post za g sio kwa nationals tu bali ni kwa waombaji wanajulikana kama "locals" yaani wakazi wa nchi lilipo shirika. mfano kwa mashirika ya un yaliyopo kenya mtu yeyote ambae anaishi kenya kihalali anaweza kuomba akapata ila ataajiriwa kama "local staff" na sio "international staff".
   
 7. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #7
  Jun 18, 2009
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35

  Samahani kwa kutoweziweka mapema na pia nilifikiri wengi wenu mnajua.
   
Loading...