Nafasi za Kazi TRA

Inaezekana mana nasikiaga huku sehemu wanazingatia sana GPA,tuanzie hapa kwanza tutajua tu ,kuna mtu system imemkatalia kupply na ana GPA ya kuanzia upper second?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilituma hii changamoto ya kushindwa ku apply katika system ya utumishi sehem ya feedback,
Leo nimejaribu imekubali...sasa sijui walifanyia kazi au ni system faults tu ilikuwa japo ilinigomea kitambo kidogo...ila sehem ya academic qualifications ndo bado hakuna optin ya DELETE iliyopo ni ku view na edit only.

Ni kweli hiyo sehemu ya Academic qualifications haina option ya kudelete,nilichofanya mimi niliwapigia kwenye namba zao huduma na wao wakanisadia kudelete.
Unawapata kwa namba 0735398259 na 0784398259

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba nifahamishwe namna ya kuapply au kama kuna email yeyote ya kutuma maombi tafadhali

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mrejesho kwa walio pata nafasi Hapo T.R.A jmn, maana imekuwa mda kdg tangu kuwekwa tangazo Ajira Porta...
 
Mwambie kuna zingine zimetoka za Procurement And supply.....
Ila kiukiweli ushindani nimkubwa....
Nitamwambia Ila hyo ajira portal usipokuwa na diploma hyo ya procurement si wata mreject maana kasoma Mambo ya tax management
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom