"Nafasi za kazi TRA zimeahirishwa", hii ina maana gani?

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,233
Zile post zilizotangazwa is no more available (No vacancy) Sijaelewa tatizo nini ila Wajuzi wa Mambo wanaweza kuja kutujuza au vile vigezo vya Umri? Kwa sababu kuna watu wapo kitaa na wana diploma hizo hawana ajira hadi wamepitiliza hiyo miaka.
 
Habari na taarifa mpya
new.gif
Nafasi za Kazi


Tunakabiliana na tatizo la kutoa matangazao ya kazi katika tovuti hii. Kutokana na tatizo hili, matangazo haya ya kazi hayatakuwa kwenye tovuti hii mpaka tarehe 2 Februali 2016. Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitoke
 
We are experiencing problems in publishing job advertisements in our website at the moment. Due to this problem, these job advertisements will not be available until 2nd February 2016. We apologize for any inconveniences caused.
 
Wabadilishe age na pale waweke degree na diploma harafu tukutane pale diamond jubilee kama watu elfu 30 hiv
 
Mmmh!!!! Ule umri wa below 25 ni shida by experience zile kazi kwa miaka mingi wanatoaga not above 30 years of aged ndio kidogo inakuwa favorable ata kwa wale waliokaa kitaan mda mrefu.
 
naona wamerudisha nafasi za kazi kama kawaida.. Umri ule ule hakuna walichobadilisha.
 
Back
Top Bottom