Nafasi za kazi TPA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi za kazi TPA

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Tanganyika1, Oct 22, 2011.

 1. Tanganyika1

  Tanganyika1 JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 396
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Jamani nimesikia kuwa bandari wametangaza nafasi za kazi kwenye the guardian la juzi alhamis tar 20. Nimeshindwa kupata hilo gazet coz niko kijijini. Nategemea information nying kutoka hapa jf. Naomba mwenye taarifa anisaidie kunijuza. Muhimu jamani na mimi nataka nijaribu bahati yangu. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
   
 2. gozo

  gozo JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2011
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  kwann aliyekupa info acngekupa data zote bt hebu 2subr wadau waje wa2juze..
   
 3. S

  Sante New Member

  #3
  Oct 23, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kujuzana humu ni muhimu sana kuliko vingine
   
 4. super thinker

  super thinker JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 370
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Sasa hawa tpa nao si waweke kwenye web yao.............au hawana web
   
Loading...