Kuna nafasi mbali mbali za tanesco zilitolewa mwezi novemba, walishaitwa?

Adimu

JF-Expert Member
Aug 22, 2013
655
283
Habarini mabibi na mabwana!

Kuna nafasi mbali mbali za tanesco zilitolewa mwezi november mwaka jana kupitia utumishi, kuna yeyote mwenye tetesi kama majina ya interview yametoka au yatatoka lini? maana naskia walishaitwa je ni kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
zilikua nafasi za Nini??? Kuna mtu namjua keshaanza kazi sijui ali apply za mwezi wa ngapi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom