Nafasi za kazi sales and marketing.

Ova

Member
Feb 18, 2017
46
31
Kampuni ya simu ya airtel inahitaji vijana wa kike na wa kiume kwa kazi tajwa hapo juu.
-Kutafuta masoko na kuuza line za simu za airtel.
-Umri kuanzia miaka 20 na kuendelea.
-Uwe na uwezo wa kutumia smartphone na uwe nayo.
-Uwe mchangamfu na mwenye kujituma.
-Ukifika ofisini utaelezwa malipo yanavyokuwa na mshahara kwa ujumla.
-Uwe unaishi dar es salaam.
Maelekezo na mawasiliano zaidi piga simu:-0683 374987
Karibu Sana.
 
mimina degree yangu nilishawai kufanya kazi ya ukuli na kufagia fagia ubalozi wa marekani enzi hizo.. hela niliyokuwa nalipwa ni mara kazaa ya mfanyakazi wa bank aliyependeza na suti yake...

degree sio ishu kabisa kwenye kutafuta maisha....

naona anatuchukulia poa wakati watu tuna degree zetu hapa alaf anataka tukauze line
 
mimina degree yangu nilishawai kufanya kazi ya ukuli na kufagia fagia ubalozi wa marekani enzi hizo.. hela niliyokuwa nalipwa ni mara kazaa ya mfanyakazi wa bank aliyependeza na suti yake...

degree sio ishu kabisa kwenye kutafuta maisha....
ndo kinachowaponza hawa graduates, hiyo degree kwake ni kila kitu poor them
 
Mimi nna dadangu amegraduate ana degree ya procurement sa hv kafungua kibanda ni Mama ntilie
mkuu,mimi kabla ya kupata kazi niliyonayo sasa, niliwahi kulima vibarua,kazi za saidia fundi nimepiga sana pamoja na kuwa na hiyo degree,na hiyo imenijengea mpaka leo Nina nidhamu kwa kila mtu katika haya maisha.
 
Nguvu ya elimu huonekana pale unapoweza kutatua matatizo ( Pesa hutatua matatizo yalio mengi).
 
mimina degree yangu nilishawai kufanya kazi ya ukuli na kufagia fagia ubalozi wa marekani enzi hizo.. hela niliyokuwa nalipwa ni mara kazaa ya mfanyakazi wa bank aliyependeza na suti yake...

degree sio ishu kabisa kwenye kutafuta maisha....
Lakini sio hyo ya kusajiri line isitoshe Airtel hawana soko
 
mkuu,mimi kabla ya kupata kazi niliyonayo sasa, niliwahi kulima vibarua,kazi za saidia fundi nimepiga sana pamoja na kuwa na hiyo degree,na hiyo imenijengea mpaka leo Nina nidhamu kwa kila mtu katika haya maisha.
Mtu mwenye nidhamu hajisifu lasivyo ni nidhamu ya kuigiza na maonesho... Poor kyagata
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom