Nafasi za kazi sales and marketing.

Kampuni ya simu ya airtel inahitaji vijana wa kike na wa kiume kwa kazi tajwa hapo juu.
-Kutafuta masoko na kuuza line za simu za airtel.
-Umri kuanzia miaka 20 na kuendelea.
-Uwe na uwezo wa kutumia smartphone na uwe nayo.
-Uwe mchangamfu na mwenye kujituma.
-Ukifika ofisini utaelezwa malipo yanavyokuwa na mshahara kwa ujumla.
-Uwe unaishi dar es salaam.
Maelekezo na mawasiliano zaidi piga simu:-0683 374987
Karibu Sana.
Jamani nafasi bado zipo 5 kwa anayehitaji
 
Hapo
Utakuwa foot soldier au free lancer
Halafu unapiga promo
Karibu smartphone network.
Ukiuza line zako door to door ,
Ukianzia Mwenge unamalizia Ubungo.
Ukosefu was kazi ni balaa.
Haya mauzo mema.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom