Nafasi za Kazi SADC - 14M kwa Mwezi

Interview kama hizo ndio utaiona tofauti

kati ya wale waliosoma kayumba alafu wakaenda Azania

Na wale waliosoma English Media Kisha wakaenda Asante............

Kila la kheri mtakao omba na kuitwa katika interview
 
Ishu sio skills wala experience. Hizi taasisi kuna wakati zililaumiwa kwa kuajiri sana watu wa west africa na southern africa. East africa kidogo walipata ni kenya. Mimi binafsi nishaomba sana lakini nikaambulia hola. Natamani kujua kama kuna Watanzania kwenye hizi taasisi na walipataje.
Mama Stagomena Tax alikuwa ni DG wa SADC
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom