Nafasi za Kazi Peoples Bank Of Zanzibar (PBZ)

IF YOUR NOT MUSLIM CONSIDER YOUR SELF UNSUCCEFUL
Mkuu hiyo degree umeipataje na kiingereza hicho? Haishangazi kuwatisha wenzio kama kichwa ndio hicho.
Kuna jamaa wawili sio waislamu wapo pbz na wanapeta tu
 
Tuma fasta,omba hata tawi la mtwara kama unaona hutaendana na mazingira ya unguja na pemba,nikuhakikishiena wafuasi kindakindaki wa mesia wanapiga mpunga na miundombinu yao ya kuabudu inapatikana
Nilishaomba kitambo mkuu, Unguja huko, cjui hata nikiitwa interview ntaendaje, huko ndo niliona nafit
 
Tuma fasta,omba hata tawi la mtwara kama unaona hutaendana na mazingira ya unguja na pemba,nikuhakikishiena wafuasi kindakindaki wa mesia wanapiga mpunga na miundombinu yao ya kuabudu inapatikana
Hao wa Messiah waliomba na wakapata pia? Haina haja ya kuhofia kumbe
 
Nakuombea heri mkuu utoboe,professionals hatupaswi kua waoga,lazima upate changamoto ndipo unapanua cv yako
Sawa sawa mkuu tena nimefurahi kusikia ni Bank ya serikali, shukran mkuu na kiukweli inabidi tupunguze uoga as long as hatuendi kuhubiri au kutoa Daawa
 
Mkuu hiyo degree umeipataje na kiingereza hicho? Haishangazi kuwatisha wenzio kama kichwa ndio hicho.
Kuna jamaa wawili sio waislamu wapo pbz na wanapeta tu
Ameipata kile chuo chap cha maji kasoro bahari
 
Mkuu hiyo degree umeipataje na kiingereza hicho? Haishangazi kuwatisha wenzio kama kichwa ndio hicho.
Kuna jamaa wawili sio waislamu wapo pbz na wanapeta tu
Kuna jamaa wawili hao ndo wanaokula ndogo nino na kukupa kibiri hicho kiingereza kina tatizo gani? hivi homosexual kwanini huwa mnawashwa kila mkiona wanaume pita mbali mimi dini haniruhusu kukula ndogo.
 
Majibu yako yanaonesha tu degree yako umekariri kama sio kununua
 
nasikia kuna skendo ya ubaguzi...wao kwa wao...na hata kwa wabara..otherwise labda kama unapata post kubwa kubwa au post maalumu
Nachomshukuru MUNGU alinipa roho ngumu, hata nikienda ni mwendo wa job- geto-sokoni/mishemishe, me mzee wa kufanya yangu sana, ant social
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom