Nafasi za kazi MUCCoBS

TheChoji

JF-Expert Member
Apr 14, 2009
4,461
13,141
Assistant Librarians 2 posts
Lecturers 5 Posts
Assistant Lecturers 15 Posts
Accountants 3 Posts
Accounting technician 1 post
Higher Clerical officer 1 Post
Clerical Officer 1 Post
Nursing officer 2 Posts
Legal Officer 1 post
Planning officer 1 Post
Administrative officer 1 Post
Dean of students 1 Post
Senior students welfare officer 1 post
Estate Manager and environment officer 1 post
Procurement officer 1 post
Personal Secretary 2 post
Clinical officer 2 post

If u are interested look for more information from Daily news 8/11/2010. Deadline is 14 days from the date of posting i.e 8/11/2010.
 
loh, pale kwenye nafasi ya dean wamechemka.

Yuko Dr. HAULE acting dean,pumbaf wanataka kumtoa, tutapambana hamna kutoka hapo!
 
We mgonjwanini kama angekuwa anafaa wangetangazahiyo nafasi.Ukiona hivyoujue kachemsha. kwa taarifa yako nimeshatuma application.
 
loh, pale kwenye nafasi ya dean wamechemka.

Yuko Dr. HAULE acting dean,pumbaf wanataka kumtoa, tutapambana hamna kutoka hapo!

Sasa abakie hapo hata kama hana uwezo wa ku-deliver?

Lakini pia anaruhusiwa na yeye ku-compete kwa hiyo nafasi.
 
loh, pale kwenye nafasi ya dean wamechemka.

Yuko Dr. HAULE acting dean,pumbaf wanataka kumtoa, tutapambana hamna kutoka hapo!

Wakati mwingine kazi hutangazwa kukidhi masharti ya sheria. Inawezekana yeye ndiye wanayedhamiria kumpa u-dead officially.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom