Nafasi za Kazi: Msaidizi wa Kumbukumbu na Afisa Utumishi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi za Kazi: Msaidizi wa Kumbukumbu na Afisa Utumishi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by SG8, Nov 6, 2011.

 1. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #1
  Nov 6, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,198
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Wana hitajika watu wawili kwa kada tajwa hapo juu.

  1.Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II (Records Management Assistant II) TGS B (Nafasi 1)
  Sifa: Elimu kidato cha Nne au Cha Sita pamoja na cheti/Diploma katika Utunzaji wa Kumbukumbu kutoka Chuo kinachotambilwa na Serikali katika fani ya Masjala. Uzoefu wa kazi ni sifa ya ziada.

  2. Afisa Tawala na Utumishi II TGS D ( Nafasi 1)
  sifa: Shahada ya kwanza kutoka Chuo Kikuu katika fani ya Utawala, Elimu Jamii, Sheria, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Uchumi au sifa zinazofanana na hizo.

  Wawe pia na ujuzi wa kompyuta

  Mazingira ya kazi hii ni kijijini lakini huduma zote za jamii (Umeme, maji,Elimu bora, afya, mawasiliano ya simu na barabara) ni za uhakika

  Kwa wenye sifa watume maombi (Barua,vyeti,picha na CV) kupitia e-mail hii mwalimuwenu@yahoo.com au ni PM kwa maelezo zaidi.

  Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 12/11/2011
   
 2. M

  Mwesiga Florid Member

  #2
  Nov 6, 2011
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hiz nafas zimetangazwa source gani?
   
 3. C

  Coolbaby Senior Member

  #3
  Nov 6, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asante sana
   
 4. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #4
  Nov 6, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,198
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
   
 5. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #5
  Nov 6, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,198
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Karibu sana
   
 6. Going Concern

  Going Concern JF-Expert Member

  #6
  Nov 6, 2011
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 934
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  kaka ebu jipange tena ndo uje, hivi. m2 atakae andika cover letter ataandikaje?
  au ndo itakua hivi?
  human resources manager
  PO box. gerrard
  jamii forum, Tanzania
  au nimekosa?
  thn kunawatu wataandika bila kujua iyo kitu.
  kama ulijua naendelea mwenzio nimemaliza.
   
 7. PEA

  PEA Member

  #7
  Nov 6, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haya subiri akajipange sisi tulioelewa tutaendelea kuomba
   
 8. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #8
  Nov 7, 2011
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  2ache utan bana cover latter itakuwa vp?
   
 9. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #9
  Nov 7, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mmmmmmm.....JF NEVER BORING!!!!!!!1
   
Loading...