Nafasi za kazi maendeleo ya jamii huwa zinatoka mwezi wa ngapi?

mpka serikali itangaze kama pale kunakuwa na uhitaji kupitia sekretariate ya ajira, kwa uzoefu wangu mwishon mwa mwaka jana na mwanzon mwa mwaka huu waliajiliwa watu wa kada yenu wengu sana,,,,,
Subili tuone huyu mzee wa "kazu tu" kama atatoa nafasi zingine
 
Back
Top Bottom