Nafasi za kazi kwa watu wa Tanga

Baba jayaron

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
4,277
5,838
Habari,
Nimepata taarifa na kuona tangazo la nafasi za kazi katika kampuni ya mikopo Tunakopesha Ltd tawi la Tanga.
Position: Sales consultancy
Reporting: regional office or centres
Education: atleast form IV and above.

Send your Cv and letter to our office
Barabara ya nne,opposite Tangamano ground where same building with DTB bank.
Deadline: 15 Apr 2016.

Changamkieni naskia wanalipa vizuri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom