Nafasi za kazi kwa waliosomea sales & Marketing

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,099
Habari wadau, natafuta kwa haraka vijana (kike/kiume) waliomaliza sales & Marketing kwa level ya certificate, Diploma or first degree.

Naomba tuwasiliane kwa PM ili kupeana maelekezo na taarifa za ziada

Updates:
Nashukuru sana jamani, nimewapata watu niliokuwa nawatafuta. Walijitokeza wengi lakini kupitia mchujo maalum uliofanyika tumefanikiwa kuwapata tuliowahitaji na tayari wameanza shughuli.

Asante kwa wote waliojitokeza na wale waliosoma tangazo langu na kuwajulisha ndugu na jamaa zao.
 
Habari wadau, natafuta kwa haraka vijana (kike/kiume) waliomaliza sales & Marketing kwa level ya certificate, Diploma or first degree.

Naomba tuwasiliane kwa PM ili kupeana maelekezo na taarifa za ziada
Habari,mimi sijasomea sales Nina diploma ya record ila nimefanya Sana kazi ya seles&marketing kwenye kampuni tofauti je naweza nikapata kazi?
 
Tuwasiliane mkuu
 
Habari wadau, natafuta kwa haraka vijana (kike/kiume) waliomaliza sales & Marketing kwa level ya certificate, Diploma or first degree.

Naomba tuwasiliane kwa PM ili kupeana maelekezo na taarifa za ziada
Nimetumia pm
 
mimi na mwenzangu tuna first degree ya public relation and marketing tupo tayari kwa kazi lakini nashndwa kukupm
 
Habari wadau, natafuta kwa haraka vijana (kike/kiume) waliomaliza sales & Marketing kwa level ya certificate, Diploma or first degree.

Naomba tuwasiliane kwa PM ili kupeana maelekezo na taarifa za ziada
Mkuu mm sjasomea sales and marketing ila Nina ujuzi..nna diploma ya procurement and supply
 
kazi ya sales haihitaji usomee hata ukienda kampuni za PESPI,COCA COLA,METL,BAKHRESA wengi ni darasa la 7 lakini bidhaa wanauza vibaya mno so mnaoomba msiogope kuomba cha msingi mjue kupromo bidhaa mpaka iuizike kumbuka mshahara unakuwa mdogo ila ukiuza mzigo kwa idadi watakayo utakuwa unapata commision kubwa sana
 
Inategemeana na aina ya bidhaa. Vinywaji na chakula mtu yoyote anaweza uza.
 
habar mkuu mm na diploma ya procurement and logistic management bt nimefnya sales and marketing ktk makampun tofauti,sa sijui waweza ni consider au vp
 
Back
Top Bottom