Nafasi za kazi kwa walimu wa sayansi na hisabati waliohitimu mwaka 2014/2015 kurudi nyuma.

hashimrashidy

Senior Member
Sep 11, 2015
197
145
NAFASI ZA KAZI KWA WALIMU WA SAYANSI NA HISABATI WALIOHITIMU MWAKA 2014/2015 KURUDI NYUMA.

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inawatangazia wahitimu wote wa Stashahada na Shahada ya Ualimu katika masomo ya Sayansi na Hisabati wa mwaka 2014/ 15 na miaka ya nyuma, kuwa bado kuna nafasi za ajira, hivyo, wenye sifa watume maombi yao.

Wahitimu walioomba wakati Wizara ilipotangaza nafasi za ajira mwezi Desemba, 2016 na Januari, 2017 wasiombe tena kwa kuwa mchakato wa ajira kwa wale wenye sifa unaendelea. Wahitimu walioajiriwa Serikalini wasiombe.

Nyaraka zinazotakiwa kuwasilishwa ni hizi zifuatazo:-

BONYEZA HAPA ILI KUSOMA HABARI KAMILI Breaking News | Ministry Of Education AnnouncesJob Opportunities Graduates Teachers For More Click Here!!! | MTIKISO ENTERTAINMENT
 

Attachments

  • index.jpg
    index.jpg
    7.1 KB · Views: 41
Back
Top Bottom