Nafasi za kazi kwa wahudumu wa bar

lorowo

Member
Jul 29, 2015
7
2
Wawe wasichana wenye Umri kati ya miaka 18 na 21 eneo la kazi ni Kitunda kwa mawasiliano piga simu namba 0713 255394 au 0755 826675.
 
umri adjust kidogo mkuu !umebana sana !

411094.jpg

Limit ya umri haiwahusu watu wa namna hii.
 
Mhh malipo hujaweka unawalipa ela ngap boss au
Salary ndio packet ya sigara
 
Wawe wasichana wenye Umri kati ya miaka 18 na 21 eneo la kazi ni Kitunda kwa mawasiliano piga simu namba 0713 255394 au 0755 826675.
Kitunda sehem gan mkuu, naweza kuwa customer wako! Maana java, big johns, smart park pamepoa mno siku hizi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom