Nafasi za kazi kwa mafundi sanifu wa maabara za Shule

Abuwhythum

JF-Expert Member
Jan 7, 2015
837
495
TANGAZO KWA UMMA: NAFASI ZA KAZI KWA MAFUNDI SANIFU WA MAABARA ZA SHULE (SCHOOL LABORATORY TECHNICIANS)

Print
Serikali inatarajia kuajiri Fundi Sanifu wa Maabara ya Shule Daraja la II. Ajira hii ni kwa Fundi Sanifu wa Maabara ya Shule waliohitimu kati ya mwaka 2013 - 2015.
Hivyo, wenye sifa stahiki na wanaotaka kuajiriwa Serikalini, wanatangaziwa kuwasilisha nakala za vyeti vyao vya:
Elimu ya Sekondari (Kidato cha nne na / au Sita);
Taaluma ya Fundi Sanifu wa Maabara ya Shule na
Cheti cha kuzaliwa kwa ajili ya uhakiki.
Aidha, mwombaji aambatishe nakala ya wasifu binafsi (CV) ya Elimu, Taaluma na Uzoefu. Mwombaji aainishe majina yake matatu kwa kirefu na usahihi.
Mwombaji ambaye katika vyeti vyake vya Elimu na Taaluma havina jina la tatu, akamilishe taratibu za kisheria kuongeza jina la tatu na kuwasilisha kiapo stahiki pamoja na maombi yake.
Nyaraka zote ziwasilishwe kwa barua pepe ifuatayo: apa@moe.go.tz
SIFA ZA MWOMBAJI

Mwombaji awe na cheti cha Kidato cha IV au Kidato cha VI katika masomo ya Sayansi na waliofuzu Mafunzo ya Laboratory Technology au Laboratory Science and Technology katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali na kupata Stashahada (National Technical Awards [NTA] Level VI) au Full Technician Certificate.

KAZI ZA KUFANYA

Kutayarisha vitendea kazi vya maabara ya somo la Sayansi kwa vitendo.
Kusaidiana na mwalimu wa somo katika kuandaa masomo ya sayansi kwa vitendo.
Kupokea na kutunza vifaa na madawa kwa ajili ya maabara ya shule.
Kubaini mahitaji ya vifaa na madawa kwa ajili ya maabara ya shule.
Kufanya majaribio ya awali (Pre-Test) kabla ya majaribio (Practical) kufanyika na wanafunzi kwa mazoezi na mitihani ya ndani.
Kutunza vitendea kazi na kuhakikisha usafi wa maabara kabla na baada ya mazoezi ya mitihani na majaribio ya ndani.
Kusimamia usalama wa maabara na waliomo wakati wa mazoezi ya vitendo (Practicals) kwa kuhakikisha kuwepo vizimamoto (Fire Extinguisher).
Kutunza vifaa vya usalama na huduma ya kwanza kwenye vyumba vya maabara.
UTARATIBU WA KUTUMA MAOMBI NI KAMA IFUATAVYO:-
Mwombaji anatakiwa ‘ku-scan’ vyeti / nyaraka halisi na siyo kivuli (photocopy) na kuhifadhi katika ‘file’ moja la ‘pdf’. ‘File’ lipewe majina matatu ya mwombaji kuanzia la kwanza, kati na la mwisho ndipo litumwe.
Mwombaji atumie anuani ya barua pepe yake mwenyewe na siyo ya mtu mwingine kutuma nyaraka zake.
TANBIHI:
Tarehe ya mwisho kupokea nyaraka ni 20 Februari, 2017.
Yeyote ambaye vyeti vyake havitahakikiwa hatafikiriwa katika ajira
Barua pepe za kuwasilisha nyaraka za waombaji zitumwe mara moja tu na si kwa kurudia rudia ili kuepuka usumbufu.
IMETOLEWA NA
Tarishi M.K.
KATIBU MKUU
30 Januari 2017
 
kiwango cha mshahara
Wala haina haja ya kujua mshahara kama waliohakikiwa DECEMBER kesho February Hamna lolote linaloendelea! Hii sasa si hadi kwenye awamu ya sita!

Tatizo wabongo tunachukulia mambo kirahisi rahisi sana, kinachofanyika hapo kwa nilivyoelewa ni kuhakiki wahitimu wa shahada na stashahada za ualimu, kupitia kwenye vyombo husika alafu baada ya hapo majina yatapelekwa tamisemi kwa ajili ya post. Sasa kuverify tu sio jambo jepesi......subira ndio muhimu.
 
haki ya nani ndalichako ni mchawi. hivi kaanzisha uhakiki mwingine ambao kwanza deadline yake ni tarehe 20 february?
huyu mama anaaza kutupa taarifa pole pole kua, na mwezi wa pili utapita kavu kwani ndio malengo yao kutotoa ajira za walimu, kwani shule za private wanafaulisha sana hivyo kuziba uharo wa shule za umma. kweli ni wewe ndalichako unakubali sasa kua mchawi kwa kushirikiana na magu mpuuzi kuzuia ajira za walimu! ama kweli duniani kila mtu ana roho mabya, sema tu anakua hajakutana na mwenye roho mbaya mwenzake wakashirikiana kufanya ubaya.
 
Tatizo wabongo tunachukulia mambo kirahisi rahisi sana, kinachofanyika hapo kwa nilivyoelewa ni kuhakiki wahitimu wa shahada na stashahada za ualimu, kupitia kwenye vyombo husika alafu baada ya hapo majina yatapelekwa tamisemi kwa ajili ya post. Sasa kuverify tu sio jambo jepesi......subira ndio muhimu.
wewe ni mpumbavu uliyekubuhu. unaweza kuthibisha vipi kama hawana majina na matokeo ya wahitimu wote. kila chuo kinatuma jina na matokeo ya muhitimu. kwahiyo matokeo ya chuo wanayo. pia NECTA ni ya wizara, hivyo taarifa za tangu fomr4 za mwanafunzi husika wanazo zote. sasa kwanini waombe vyeti wakati data zote wanazo? lengo ni kupotea muda na sio kuhakiki. kama ni kuhakiki walishahakiki zamani na sasa wanachofanya ni kupoteza muda.

naibu waziri wa elimu pamoja na waziri mkuu walisema kua uhakiki uliisha na majiana waliyapeleka ktk wizara ya utumishi. hiyo taarifa ya kukamilika kwa uhakiki ilitoka wiki moja tu baada ya zoezi la uhakiki kuanza(wiki moja baada ya deadline ya kutuma vyeti). waliona wataulizwa kwanini hawajatoa, magu mpuuzi akamuagiza mchawi ndalichako adanganye umma kuwa, kuna wahitimu wengine walikosea kutuma vyeti hivyo watume tena. mchawi nadlaichako akatekeleza uvu aliloambiwa na magu alitekeleze. wamehakikisha kwasasa hakuna ajira za walimu na roho zao chafu zinafurahi sana.
 
Sasa kuverify tu sio jambo jepesi......subira ndio muhimu.
nilivyo na hasira juu ya kauli kama hizi. ungekua karibu ningekupiga ngumi ya kichwa. tangu mwaka juzi ww unaongea subira ndio muhimu!!! lofa na mpu.mba.vu wewe.
 
Lengo lao watoe ajira hizi na walimu wa sayansi kwa pamoja. Usishangae mwezi wa nne wakaagiza walimu wa sanaa watume vyeti. Halafu hizi zote zitolewe kwa pamoja mwezi wa saba!
Kweli hii ndo Tanzania ! Kuna watu wanajua kuchezea akili za watu!
 
Hili ndoo lengo lao serikali haina pesa inashindwa tu kusema kwani walishindwa nini kuwaambia watume wote vyeti kwa pamoja
 
wewe ni mpumbavu uiyekubuhu. unaweza kuthibisha vipi kama hawana majina na matokeo ya wahitimu wote. kila chuo kinatuma jina na matokeo ya muhitimu. kwahiyo matokeo ya chuo wanayo. pia nacte ni ya wizara, hivyo taarifa za tangu fomr4 za mwanafunzi husika wanazo zote. sasa kwanini waombe vyeti wakati data zote wanazo? lengo ni kupotea muda na sio kuhakiki. kama ni kuhakiki walishahakiki zamani na sasa wanachofanya ni kupoteza muda.

naibu waziri wa elimu pamoja na waziri mkuu walisema kua uhakiki uliisha na majiana waliyapeleka ktk wizara ya utumishi. hiyo taarifa ya kukamilika kwa uhakiki ilitoka wiki moja tu baada ya zoezi la uhakiki kuanza(wiki moja baada ya deadline ya kutuma vyeti). waliona wataulizwa kwanini hawajatoa, magu mpuuzi akamuagiza mchawi ndalichako adanganye umma kuwa, kuna wahitimu wengine walikosea kutuma vyeti hivyo watume tena. mchawi nadlaichako akatekeleza uvu aliloambiwa na magu alitekeleze. wamehakikisha kwasasa hakuna ajira za walimu na roho zao chafu zinafurahi sana.
Asante sana kwa matusi yako.... kwani mimi nilikuwa nakujibu kuhusu hao wa mwaka jana December na si vinginevyo kwani ni inshu ambayo naijua ipo kwenye hatua gani, nipo karibu sana na wahusika. Samahani sana mkuu tusamehane sana na katika uhuru wa kutoa maoni tu.
 
kua karibu na wahusika haina faida kwetu, labda faida kwako kwa kupata chansi ya kuteuliwa. tangu mwezi wa kwanza mwaka jana tuliambiwa hivi karibuni na wahisika wenyewe(sio wa karibu na wahusika), ila mpaka sasa hivi karibuni haijafikia. huoni hata aibu unasema 'wa december' badala ya kusema 'wa mwaka juzi'!

eti samahani sana mkuu, samahani gani kwenye kufanya ujinga unaojirudiarudia!!!! samani yako peleka huko!!! kwasasa hatutaki upumbavu wako hapa. wewe huenda ni lijitu limekaa kijiweni likiwa limevaa kiguo cha chama, kisha lina-coment pumba kwenye mambo ya msingi.
 
kua karibu na wahusika haina faida kwetu, labda faida kwako kwa kupata chansi ya kuteuliwa. tangu mwezi wa kwanza mwaka jana tuliambiwa hivi karibuni na wahisika wenyewe(sio wa karibu na wahusika), ila mpaka sasa hivi karibuni haijafikia. hueni hata haya unasema wa december badala ya kusema wa mwaka juzi!

SIO hamtaki bali hautaki ujinga wangu nimekuelewa, lakini unamzuiaje mtu hasitoe maoni yake kumbuka hii ni free platform. Usiwaze kabisa kama mimi niko mtaani na nikiwa nimevaa magwanda ya chama chakavu...hahahah. Naelewa una hasira sana mkuu
 
Utambue pia I don't support CCM hata kidogo and I am not jobless either. Nafikir umenitafsiri vibaya kabisa kwani hizi zako ni personal attack. Have a nice day.
 
tumekusamehe, ila usirudie tena kuongea maneno ya kutaka watu wawe wavumilivu, wakati watu walishavumia tangu maka juzi.
 
Tumekusamehe. Ila sio dhambi ww kua chama fualni, ni mapenzi yako na hatuwezi kukuhukumu kwa hilo. Dhambi kuongea maneno yanayowataka watu wawe wavumilivu, wakati walishavumilia tangu mwaka juzi.
 
I am trying to be friendly with you Sir, Sikuwa nazungumzia kuhusu mwaka juzi kwani ya mwaka Juzi siyajui chief, bali nilkuwa nazungumzia wale waliosubmit vyeti kuanzia tarehe 12 Decemba 2016 ambayo inahusisha ajira 4000 kwa walimu wa sayansi na maths, na wakatikiwa wale ambao hawajakamilisha kutuma vyeti vyao watume tena from 12th January 2017 ilitoka tangazo kwani kuna wengine walikuwa hawajakamisha kutuma vyeti vyao.

Na hii ya kwenye post ni kwa ajili ya Lab technicians... so comment yangu ya kwamba wawe wavumilivu ni kwa hawa tu na sio wale wa mwaka juzi, kwani hao sijui chochote.... sasa mkuu umekuwa unaniattack as if nimekosea kuwapa moyo ndugu zangu hawa. ungeniuliza tu nazungumzia kundi gani kuliko kunishushua. Tunaumia wote mkuu sione hivyo tu, tunahitaji kufarajiana na si vinginevyo, tukigombana hakuna faida yoyote.
 
Tumekusamehe. Ila sio dhambi ww kua chama fualni, ni mapenzi yako na hatuwezi kukuhukumu kwa hilo. Dhambi kuongea maneno yanayowataka watu wawe wavumilivu, wakati walishavumilia tangu mwaka juzi.
I didn't know kama kuna wa mwaka juzi.... anzisha huo uzi wa hiyo agenda ili niweze kupata mawili matatu ndugu.
 
jamaa mnabishana wote wawili mnachapiachapia mnatumia kiswahili kibovu bora msiajiliwe tu.
 
Back
Top Bottom