Nafasi za kazi: Kuchukua mzigo wa biashara china, pakistan & india

blessings

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
6,983
6,248
Kampuni yetu inayojishughulisha na kuagiza bidhaa toka China, Pakistan & India tunayo furaha kutangaza nafasi za kazi kwa watanzania walio tayari kusafiri kwenda huko kwa ajili ya kuleta mzigo wa biashara nchini (Nauli, Malazi & Pesa ya kujikimu) kampuni itakulipia. Zaidi mzigo ukishauzwa utalipwa Commission (10%)

SIFA:
1. Awe anaweza kuzungumza lugha ya kiarabu & Kiingereza
2. Mwanamke aliye kwisha zaa atapewa kipaumbele (maturity)
3. Mwenye kutunza siri (confidentiality)

Tuma namba yako ya simu kwa kuni-PM
 
blessings nimeshaku-pm namba yangu tayari ingawa sina passport kwa sasa ngoja nianze mchakato wa kupata passport in case nikiwa successful isiwe tabu tena kushughulikia mambo ya passport.
 
kampuni yetu inaitwa LIKONI IMPEX LTD tunauza bidhaa za nguo pamoja na vifaa vya ujenzi
 
Unachukulia mzigo kutoka mji gani kaka. Mimi nipo tayari kukusafirishia ili kupunguza gharama za kutumia watu kutoka bongo. Tuambia unapochukulia mzigo na usafiri unaotakakuutumia. Ila ukaguzi, kupaki na kusafirisha vitafanywa na vijana wangu. Vituo ni Tianjin, dongguan na ningbo kama upo karibu na hizo bandari na kama unataka usafiri wa ndege tutakupakia Beijing, Shanghai, Guangzhou na Hongkong. NB: Uchambuaji, upangaji, ufungaji na usafirishaji wa mizigo lazima ufanywe na mawakala wetu.
 
Hapo kwenye kutunza siri bila kutaja bidhaa ndo utata wa biashara yenyewe unapoanzia. Huko kufunguka kwa mara ya pili ni zuga na kupotezea lengo lako la awali.
Drug lords kweli mmeiweka nchi mifukoni!!!
 
blessings nimeshaku-pm namba yangu tayari ingawa sina passport kwa sasa ngoja nianze mchakato wa kupata passport in case nikiwa successful isiwe tabu tena kushughulikia mambo ya passport.

Wewe ni mwanamke uliyekwisha zaa na unaweza kutunza siri? kuwa makini mkuu,utapotezwa vibaya
 
Kampuni yetu inayojishughulisha na kuagiza bidhaa toka China, Pakistan & India tunayo furaha kutangaza nafasi za kazi kwa watanzania walio tayari kusafiri kwenda huko kwa ajili ya kuleta mzigo wa biashara nchini (Nauli, Malazi & Pesa ya kujikimu) kampuni itakulipia. Zaidi mzigo ukishauzwa utalipwa Commission (10%)

SIFA:
1. Awe anaweza kuzungumza lugha ya kiarabu & Kiingereza
2. Mwanamke aliye kwisha zaa atapewa kipaumbele (maturity)
3. Mwenye kutunza siri (confidentiality)

Tuma namba yako ya simu kwa kuni-PM
Una masihara na maisha ya watu wewe naona, aliyezaa ili iweje? ooh Tumbo lake kimetanuka.... Botiki nyingi hapo dar es salaam nd dili zenu hizi, mwauza botiki kama cover up tu ila ndani ni mambo ya sembe kwa kwenda foward.... Kamanda track hiyo IP ana mengi ya kujibu huyu!
 
watanzania mbona akili zenu zimekaa kama za kushikiwa na manati? huyu jamaa anafanya comedy tu actually anajaribu kuonyesha jinsi watu wanavyoahadaiwa kwa kupewa kazi bila kujielewa wanajichanganya!!!! JF ni platform ya watu wenye akili sana unahitaji akili ya ziada kuelewa baadhi ya watu. Si kwamba anamaanisha hiv ni namna ya kufikisha ujumbe tu. DONT TAKE IT SERIOUS.
 
umesema uarabuni na uchina?....dadeki zake..... ngoja nikapate ulabu uchochoro Pub, nitarud baadaye akili ikikaa sawa!
 
Back
Top Bottom