Nafasi za Kazi Gardaworld Security Tanzania

Ukitaka kujua mtu mjinga angalia kwenye maandishi na mazungumzo yake, ungekuwa mwelevu ungejua ninachomaanisha ila kwa sababu Ni mjinga na kujidai tajiri huku ukiwa na utabili wa Mimi kuwa maskini na mwenye kufa na madeni wakati hunifahamu ndo ujinga unapoishia na kuwa upumbavu

Kama wewe Ni mmoja wa vijana mliopo kk security sishangai kwa Nini umeandika hivi[/QUOTE]
Wewe ni mjinga kweli kwaiyo unataka vijana wote Tanzania wawe wanavijizia vijinafasi hivyo 30 vya serikali?
Yani MTU akae anasubiri mpaka serikalini?
Mkuu najua wewe ni masikini na usipoangalia utakufa masikini na madeni juu![/QUOTE
 
Ukitaka kujua mtu mjinga angalia kwenye maandishi na mazungumzo yake, ungekuwa mwelevu ungejua ninachomaanisha ila kwa sababu Ni mjinga na kujidai tajiri huku ukiwa na utabili wa Mimi kuwa maskini na mwenye kufa na madeni wakati hunifahamu ndo ujinga unapoishia na kuwa upumbavu

Kama wewe Ni mmoja wa vijana mliopo kk security sishangai kwa Nini umeandika hivi
[/QUOTE]
Nimekupuuza
 
mkuu hapa dsm vp bado wanachukua watu nataka niombe ninusuru familia
 
Pole jaribu local companies nadhani vigezo ni vyepesi zaidi
Local company kivipi? kuna mlinzi anayelipwa laki 5? km hakuna basi bado ni local company sbb mshahara wenu unafanana na wa local company.
KAMPUNI ZOTE ZA ULINZI TANZANIA NI LOCAL COMPANY KM UNABISHA KWA HILO ANGALIA MSHAHARA WANAOLIPWA WAFANYAKAZI
 
Update: Nafasi mpya June 17-28 2019: Usaili unafanyikia Mwanza.
 
Nipo Ngudu Kwimba Mwanza,ningependa kupata mawasiliano ya moja kwa moja ya simu nije kuleta barua, namba yangu +255765325644 niko tayari kufanya kazi
View attachment 808369

UPDATE NAFASI MPYA JUNE 17-28 -2019

Kampuni ya ulinzi ya KK Security Tanzania Ltd. Yenye ofisi yake Capripoint mbele kidogo na Kamanga Fery Mwanza na ofisi kuu Mikocheni B Dar es Salaam, Inatangaza nafasi ya kazi Ya ulinzi.

VIGEZO

  1. Elimu: Kidato cha nne na kuendelea.
  2. Uwezo wa kusoma, kuandika na kuongea kiingereza.
  3. Umri wa miaka 23 - 42
  4. Urefu futi 5.7 na kuendelea (kwa wanaume)
  5. Afya njema
  6. Asiwe na makosa yeoyote ya jinai
  7. Awe tayari Kazi Mkoa wowote wa Tanzania.
HATUA
  • Mwombaji Afike na barua ya maombi ya kazi iliyoandikwa kwa mkono na mwombaji kwa kiingereza
  • Nakala za vyeti na vyeti halisi, cheti cha kuzaliwa au hati ya kiapo.
  • Barua ya utambulisho kutoka kwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa.
  • Barua za wadhamini wawili (zipiigwe muhuri kwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa juu ya picha na Wasiwe walinzi au wanafunzi).
  • Mdhamini awe na kitambulisho halali.
  • Mwombaji awe na picha 5 za pasipoti zilizopigwa hivi karibuni
  • Mwombaji awe tayari kwa mahojiano na usaili.

Usaili utafanyika , Ofisini kwetu Capripoint Mwanza kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa kumi na moja jioni.

Epuka matapeli, Hakuna rushwa ni vigezo tu vinazingatiwa.

UPDATE:

INTAKE MPYA JUNE 17 - 28 2019 INAENDELEA
WAOMBAJI WENYE VIGEZO WANAKARIBISHWA

KUMBUKA, TARATIBU ZOTE NI BURE HIVYO EPUKA MATAPELI.
 
Mkuu vvm kuna update yoyote kwa sasa? Tupe mkuu tunahitaji kazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom