Nafasi za Kazi Gardaworld Security Tanzania

Nafasi zipo, fika ofisi ya KK Security Mwanza iliyopo Capripoint, near Kamanga feri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tofauti na sexurity officers, kuna vacancy gani zipo hapo?

Pia kwa security, kuna promotion zinafanyika maybe kuwa supervisor na zaidi? Criteria gani zinazingatiwa kwa new.entries?
 
U

Usiombe uingie huku, real maisha Ni magumu but usiombe uingie huku
 
Mimi ni mwanaume dada,
Niliamrishwa kula kwa shida sio kama nyie!
Nikitaka, naingia tu vizuri hizo shida sio kitu.

Mimi Ni mwanaume pia ndugu, nakuambia ukweli usithubutu kuingia huku utapata tabu sana mm nilifanya huko nayajua mateso ya huko
 
Ok sasa maskini anawezaje kufa maskini?

Ukienda KK utakufa maskini Daima, Kama unapenda security job na umefika kidato Cha nne au Cha sita, na Kama hujabahatika kupitia mafunzo ya Jkt, nenda kajiunge mgambo fasta then pitia page za ajira serikali huwa inatangaza walinzi wake Binafsi now Kuna tangazo la KADCO wanataka Assistant Airport Security na Kama hujui security wa Kilimanjaro Airport analipwa 850K, na tarh 15 analipwa 300k hiyo ni allowance ya nyumba na nauli ni tofauti na mshahra,

Achana na airport authority pia taasisi nyingine za serikalini wanataka walinzi Binafsi but wawe na weledi japo maslahi yanatofautiana kila taasisi, Ni Bora ukajiendeleza vikozi vidogovidogo Kama zimamoto, CCTV operator, mgambo na security management system unakuwa na wigo mkubwa wa kupata ajira serikalini na huko unakuwa huru Sana kusoma na mambo mengine tofauti na hizo kampuni

Hao jamaa hawafai kabisa nakuambia Tena usipoteze mda wako utajuta
 
Asante kwa taarifa ndugu yangu.
 
N

Tafadhali Naomba mawasiliano yako mkuu..
 
Good News: Call For Work From UTUMISHI Public Recruitment Secretariat Released Today 23rd January, 2018 - AjiraLeo Tanzania | Nafasi za Kazi 2019, Ajira Portal, Ajira Mpya Serikalini, Zoom Tanzania, MATOKEO

Chekini hapo Leo tume ya ajira imetoa majina ya walioitwa kazini wamo walinzi 30 wa uwanja wa ndege wameitwa

Note
Kuna watu wamepata kazi hapo na degree zao lakini Amini usiamini wataenda kuzidiwa maslahi ya kimshahara na Hawa walinzi wa viwanja vya ndege wenye certificate tu, hi inategemea na hizo taasisi walizopangiwa Kuna zingine maslahi Ni mabovu kupindukia
 
Yapo ya kweli na yapo ambayo sio ya kweli

Mbona wewe ni maskini wakati haupo KK?
 
Good News: Call For Work From UTUMISHI Public Recruitment Secretariat Released Today 23rd January, 2018 - AjiraLeo Tanzania | Nafasi za Kazi 2019, Ajira Portal, Ajira Mpya Serikalini, Zoom Tanzania, MATOKEO

Chekini hapo Leo tume ya ajira imetoa majina ya walioitwa kazini wamo walinzi 30 wa uwanja wa ndege wameitwa

Note
Kuna watu wamepata kazi hapo na degree zao lakini Amini usiamini wataenda kuzidiwa maslahi ya kimshahara na Hawa walinzi wa viwanja vya ndege wenye certificate tu, hi inategemea na hizo taasisi walizopangiwa Kuna zingine maslahi Ni mabovu kupindukia
Wewe ni mjinga kweli kwaiyo unataka vijana wote Tanzania wawe wanavijizia vijinafasi hivyo 30 vya serikali?
Yani MTU akae anasubiri mpaka serikalini?
Mkuu najua wewe ni masikini na usipoangalia utakufa masikini na madeni juu!
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom