Nafasi za Kazi Gardaworld Security Tanzania

Intake mpya imeanza, wajulishe wenye uhitaji.
Mwisho Wa kuomba ni tarehe ngapi naomba unifahamishe mkuu maana anayeomba anatokea nje ya mwanza nifahamishe mkuu nione kama ana uwezekano wa kuwahi nimshtue
 
Mwisho Wa kuomba ni tarehe ngapi naomba unifahamishe mkuu maana anayeomba anatokea nje ya mwanza nifahamishe mkuu nione kama ana uwezekano wa kuwahi nimshtue
Tarehe 19, this month
 
Updates...


Intake mpya ni kuanzia tarehe 3 mwezi December mpaka tarehe 12 mwezi December, kwa wenye vigezo vya awali mnakaribishwa kwa usahili.
 
Updates...


Intake mpya ni kuanzia tarehe 3 mwezi December mpaka tarehe 12 mwezi December, kwa wenye vigezo vya awali mnakaribishwa kwa usahili.
Vipi sisi wa mikoani tunapereka barua wapi dar au mwanza?
 
Intake mpya inaendelea wenye vigezo karibuni, i know how its hard kuwa jobless that's why huwa najitahidi kushare hizi info pindi ninapozipata, Karibuni.
 
View attachment 808369

UPDATE NAFASI MPYA TAREHE 03 MPAKA 12 - December -2018

Kampuni ya ulinzi ya KK Security Tanzania Ltd. Yenye ofisi yake Capripoint mbele kidogo na Kamanga Fery Mwanza na ofisi kuu Mikocheni B Dar es Salaam, Inatangaza nafasi ya kazi Ya ulinzi.

VIGEZO
  1. Elimu: Kidato cha nne na kuendelea.
  2. Uwezo wa kusoma, kuandika na kuongea kiingereza.
  3. Umri wa miaka 23 - 42
  4. Urefu futi 5.7 na kuendelea (kwa wanaume)
  5. Afya njema
  6. Asiwe na makosa yeoyote ya jinai
  7. Awe tayari Kazi Mkoa wowote wa Tanzania.
HATUA
  • Mwombaji Afike na barua ya maombi ya kazi iliyoandikwa kwa mkono na mwombaji kwa kiingereza
  • Nakala za vyeti na vyeti halisi, cheti cha kuzaliwa au hati ya kiapo.
  • Barua ya utambulisho kutoka kwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa.
  • Barua za wadhamini wawili (zipiigwe muhuri kwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa juu ya picha na Wasiwe walinzi au wanafunzi).
  • Mdhamini awe na kitambulisho halali.
  • Mwombaji awe na picha 5 za pasipoti zilizopigwa hivi karibuni
  • Mwombaji awe tayari kwa mahojiano na usaili.

Usaili utafanyika kuanzia Tarehe 16 July , Ofisini kwetu Capripoint Mwanza kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa kumi na moja jioni.

Epuka matapeli, Hakuna rushwa ni vigezo tu vinazingatiwa.

UPDATE:

INTAKE MPYA JANUARY 2019 INAENDELEA
WAOMBAJI WENYE VIGEZO WANAKARIBISHWA

KUMBUKA, TARATIBU ZOTE NI BURE HIVYO EPUKA MATAPELI.
Sasa sie wa mikoan inakuaje na izo ofisi za dar zinapokea maombi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom