Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,230
- 10,094
Mbali kinoma kikubwa jitunze tu mf. Tunza damu, usije pata kesi ya kulazwa police au kupata ajali itayokupa ulemav.Ndio nashangaa hii ronja mbna ya mbali
Mbali kinoma kikubwa jitunze tu mf. Tunza damu, usije pata kesi ya kulazwa police au kupata ajali itayokupa ulemav.Ndio nashangaa hii ronja mbna ya mbali
Vijana kwenye kutunza damu hapo ndio kipengele..tunacheza rafu sanaMbali kinoma kikubwa jitunze tu mf. Tunza damu, usije pata kesi ya kulazwa police au kupata ajali itayokupa ulemav.
sure kama me apa nilipo natumia PEP niliuza mechi na nimeanza juzi dozi ya 30days..Vijana kwenye kutunza damu hapo ndio kipengele..tunacheza rafu sana
Wameapa tayali??mnalionaje baka la zimamotoView attachment 2426538
Kuna mechi nilicheza inanisumbua akili sana...PEP naziogopa sana hizosure kama me apa nilipo natumia PEP niliuza mechi na nimeanza juzi dozi ya 30days..
Wakiwa mafunzoni ndio wanavaa hiyo uniformmnalionaje baka la zimamotoView attachment 2426538
Mzee acha tu hii mara ya pili natumia PEP japo kidonge kimoja Lakin kinakereketa mwilini..Kuna mechi nilicheza inanisumbua akili sana...PEP naziogopa sana hizo
Huwa nazikimbia sana ..japo ni muelimishaji mzuri wa hayo masuala sanaMzee acha tu hii mara ya pili natumia PEP japo kidonge kimoja Lakin kinakereketa mwilini..
Apo iko kikopo nilimaliza mwezi wa 6 mwanzoni alaf juzi nmeenda tena kufata mzigo mwingine asee sahv ntavaa ata ndom mbilimbili sio kwa midonge hii.Huwa nazikimbia sana ..japo ni muelimishaji mzuri wa hayo masuala sana
Mpime huyo uliyeuza nae mechiKuna mechi nilicheza inanisumbua akili sana...PEP naziogopa sana hizo
Apo iko kikopo nilimaliza mwezi wa 6 mwanzoni alaf juzi nmeenda tena kufata mzigo mwingine asee sahv ntavaa ata ndom mbilimbili sio kwa midonge hii. View attachment 2426660
Dem hana wasiwasi kabisa kuhusu kupima kasema mm tu nikiwa tayali twende.Mpime huyo Mdada uliyeuza nae mechi
watu wa ngonoApo iko kikopo nilimaliza mwezi wa 6 mwanzoni alaf juzi nmeenda tena kufata mzigo mwingine asee sahv ntavaa ata ndom mbilimbili sio kwa midonge hii. View attachment 2426660
Hyo nayo huwa ni mbinu nzuri ya kujitia moyoMpime huyo uliyeuza nae mechi
Ngoja tuone kama ni kweliJw hyo lonja ya February nilisikia wiki iliyopita.
Hapo hadi usaili uishe majina yatoke ni April ***** wakati huo kina kunguru wa Manzese ndio wanaapaFebruary mbali aise
Noma sana iyo kitu imenikondesha kinoma sifanyi tena Hadi mwakaniwatu wa ngono
Mwaka huu Oljoro waliingia mwezi wa tatu wakaapa 30/10.Ngoja tuone kama ni kweli