Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Huyo ndio kafungua
Labda walishaanza ila kufunguliwa rasmi ni leo
Screenshot_20211202-162823_Instagram.jpg

Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
 
Mumesikia ccp wengine 200 wamerudishwa sababu ya vyeti vyao havjakaa vizuri vnakasoro kumbe usaili hapa ulikuwa ujaishia hapa mpaka kule uliendelea ndyo washkaji wamerudi juz
 
Kuna sehem niliCOMMENT sema cjui ni Uzi huu au Mwingine ila CCP hawaamin vipimo vya sehemu nyingine yoyote ile hasa kipindi cha Mafunzo,
Kila kitu kinaanza upya,
Iwe Afya,vyeti nk.
Hata kama umebakisha mwez mmoja kumaliza ikibainika una tatzo lolote la kiafya au la kivyeti unaondolewa haraka iwezekanavyo
Mumesikia ccp wengine 200 wamerudishwa sababu ya vyeti vyao havjakaa vizuri vnakasoro kumbe usaili hapa ulikuwa ujaishia hapa mpaka kule uliendelea ndyo washkaji wamerudi juz
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom