Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Afu wote mnao kuja katika hii shule,wekeni mbele uzalendo katika taifa hili sio uweke mbele tumbo lako kwasababu ya shida zako ndio ukaja huku,my friend sehemu hii itakua sio mahali pako na ndio maana kutwa kuna baadhi ya askari wanafanya tabia za kipuuzi na zakijinga kula lushwa kuchafua taswila ya jeshi kisa tu tumbo lake na familia yake.Wengine hii taasisi tunaipenda sana na inatupenda pia kwasababu ya uzalendo uliotukuku sasa wewe uje na njaa zako huku ili baadae uanze kutugombanisha jeshi na raia tutakufukuza kwa aibu na fedhea
Relax mkuu mbona makasiriko

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Tanga wamepitishwa watu wasio na vigezo kamili wenye vigezo kamili tumeachwa ..mama Samia katoa AJIRA lkn AJIRA hizi zilikuwa mikononi mwa watu imagine tumepigishwa usaili hadi mwisho alafu kumbe walikuwa na watu wao sisi tulikuwa ni egesha tu
 
Rushwa imetembea Sana huku mikoani kwenye hizi AJIRA waliopitishwa Ni baba kantuma vigezo Kama umri pia umewatupa mkono kuna mmoja hata siku ya oral interview kwa mkuu wa mkoa hajakuja hakuwa na vyeti muhimu tunakutana naye hospital ya field force sisi wakati tunasimamishwa yeye anaambiwa ww kaa usisimame kuna mmoja naye afande mmoja mkubwa hivi akampa buku kumi sisi tunaona ili apate kupimwa ..hii nchi haijawahi kuwa na usawa democracy kisiasa hadi kweny ajira ni ujanja ujanja mtupu .. imagine hii nchi kila unavyozidi kusoma ndio maisha yako yanakuwaga magumu kupata ajira ni ngumu nchi inayohofia kulipa elimu ya juu mishahara mikubwa ilihali wao wanaiba na kuchukua mishahara minono ya mamililoni
 
Mkuu umeongea kwa hisia sana , pole kwa yaliyokukuta najua unamaumivu kwa sasa Ila tunarudi palepale kupata unachotaka Afrika "it depends on who you know"
 
Kuna jmaa yangu amepata nikasema kumbe haya mambo bila koneksheni inawezekana.....anakuja kunmbia alivyopita hahahaha nilichoka wazee hiz mambo tusitiane moyo hata waliopta humu wana njia zao wamezitumia just imagine mkuu wa mkoa ana ndgu zake au ana jmaa zake ambao wana watt zao the same na kwa RPC the same na mwnyekit CCM mkoa the same na mawaziri the same na wakubwa wengine kama hawana watu wao wa karbu basi wana jamaa zao hapo maana yake hata uwe na kipaji cha kunya goroli hutoboi.

Me sitegemei maajabu yoyte kwa majeshi yaliyobak na najutia garama zangu nilizotumia maana urasimu na use.ge kweny hz ajira umekuwa mwingi ..

Ila ipo siku hapa tz tutazungumza lugha moja hii nepotism hii sumu yake ikilipuka we ngoja tu.
 
Afu wote mnao kuja katika hii shule,wekeni mbele uzalendo katika taifa hili sio uweke mbele tumbo lako kwasababu ya shida zako ndio ukaja huku,my friend sehemu hii itakua sio mahali pako na ndio maana kutwa kuna baadhi ya askari wanafanya tabia za kipuuzi na zakijinga kula lushwa kuchafua taswila ya jeshi kisa tu tumbo lake na familia yake.Wengine hii taasisi tunaipenda sana na inatupenda pia kwasababu ya uzalendo uliotukuku sasa wewe uje na njaa zako huku ili baadae uanze kutugombanisha jeshi na raia tutakufukuza kwa aibu na fedhea
Uzalendo unaptikana vipi wakati watu wnyewe wanaptikana kwa ubabaishaji wazelndo wanaachwa kwnye mataa ???
 
Mkuu umeongea kwa hisia sana , pole kwa yaliyokukuta najua unamaumivu kwa sasa Ila tunarudi palepale kupata unachotaka Afrika "it depends on who you know"
Sikupingi .mkuu ile interview ilikuwa geresha tu ..afande mmoja alitupa ronja watu wakubwa wameleta watu wao hapo ndio nikaona umaskini mbaya Sana .kuna Matron naye tukimuuliza alikuwa alituambia ombeni tu mungu huku akituoambia kwa huruma akitamani atuambiye ukweli Sababu alishajua tumefanywa egesha tu...
 
Rushwa imetembea Sana huku mikoani kwenye hizi AJIRA waliopitishwa Ni baba kantuma vigezo Kama umri pia umewatupa mkono kuna mmoja hata siku ya oral interview kwa mkuu wa mkoa hajakuja hakuwa na vyeti muhimu tunakutana naye hospital ya field force sisi wakati tunasimamishwa yeye anaambiwa ww kaa usisimame kuna mmoja naye afande mmoja mkubwa hivi akampa buku kumi sisi tunaona ili apate kupimwa ..hii nchi haijawahi kuwa na usawa democracy kisiasa hadi kweny ajira ni ujanja ujanja mtupu .. imagine hii nchi kila unavyozidi kusoma ndio maisha yako yanakuwaga magumu kupata ajira ni ngumu nchi inayohofia kulipa elimu ya juu mishahara mikubwa ilihali wao wanaiba na kuchukua mishahara minono ya mamililoni
mkuu hata ukilalamika hamna kitakachobadilika, kuna jamaa alikua anasema hz kaz bila conn kupata n bahat watu walkua wanabsha, infact mtoto wa RPC akose na ww mtoto wa mkulima wa hali ya chn upate is it possible ? piga moyo konde mkuu ,tafuta pesa
 
Sikupingi .mkuu ile interview ilikuwa geresha tu ..afande mmoja alitupa ronja watu wakubwa wameleta watu wao hapo ndio nikaona umaskini mbaya Sana .kuna Matron naye tukimuuliza alikuwa alituambia ombeni tu mungu huku akituoambia kwa huruma akitamani atuambiye ukweli Sababu alishajua tumefanywa egesha tu...
Hii nchi kama huna mtu kwenye system ngumu sana kupata nafasi
 
Kuna jmaa yangu amepata nikasema kumbe haya mambo bila koneksheni inawezekana.....anakuja kunmbia alivyopita hahahaha nilichoka wazee hiz mambo tusitiane moyo hata waliopta humu wana njia zao wamezitumia just imagine mkuu wa mkoa ana ndgu zake au ana jmaa zake ambao wana watt zao the same na kwa RPC the same na mwnyekit CCM mkoa the same na mawaziri the same na wakubwa wengine kama hawana watu wao wa karbu basi wana jamaa zao hapo maana yake hata uwe na kipaji cha kunya goroli hutoboi.

Me sitegemei maajabu yoyte kwa majeshi yaliyobak na najutia garama zangu nilizotumia maana urasimu na use.ge kweny hz ajira umekuwa mwingi ..

Ila ipo siku hapa tz tutazungumza lugha moja hii nepotism hii sumu yake ikilipuka we ngoja tu.
Hili ni bomu muda will tell .. umenichekesha eti ata uwe na kipaji Cha kunya gololi
 
Kuna jmaa yangu amepata nikasema kumbe haya mambo bila koneksheni inawezekana.....anakuja kunmbia alivyopita hahahaha nilichoka wazee hiz mambo tusitiane moyo hata waliopta humu wana njia zao wamezitumia just imagine mkuu wa mkoa ana ndgu zake au ana jmaa zake ambao wana watt zao the same na kwa RPC the same na mwnyekit CCM mkoa the same na mawaziri the same na wakubwa wengine kama hawana watu wao wa karbu basi wana jamaa zao hapo maana yake hata uwe na kipaji cha kunya goroli hutoboi.

Me sitegemei maajabu yoyte kwa majeshi yaliyobak na najutia garama zangu nilizotumia maana urasimu na use.ge kweny hz ajira umekuwa mwingi ..

Ila ipo siku hapa tz tutazungumza lugha moja hii nepotism hii sumu yake ikilipuka we ngoja tu.
Kama sio UVCCM hupati, inaonyesha vijana wengi ni kada wa chama mzee kwahio kaa kwa kitulia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom