Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Ni kweli tunaomba tu huwezi jua ya Mungu mengi

ila si unajua connection nyingi sana ndio maana watu tunakata tamaa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Jaribu kwanza, kukata tamaa iwe ni last option kwenye kila jema unalopanga..

Kujaribu si ghali..

Ukijaribu unaweza kupta, Je ukikata tamaa utapata?

Askari unatakiwa kujaribu, Kushindwa kwako kuje baada ya kujaribu na sio kushindwa kuje kwa kukata tamaaa.

Awiiiih... Awaaah
 
Hizi nafasi pia n za wanasayansi au hata sisi arts tutapata mkuu?
 
Wadau Hizi Kazii za Magereza naonaa Wamesemaa Wanahitaji watuu Wa afya Diplomaa ,,Je Magereza Wana Hospital zao ??Inakuaje hapo Wakurugwa mnisaidie Ni kama Polisi na hospital zao
Hahahahah
Mkuu Kama hawana hospital huombi?

Wao wanahitaji waganga, kama unahitaji ajira ndani ya Jeshi la MAGEREZA wewe omba tu.
 
Wadau Hizi Kazii za Magereza naonaa Wamesemaa Wanahitaji watuu Wa afya Diplomaa ,,Je Magereza Wana Hospital zao ??Inakuaje hapo Wakurugwa mnisaidie Ni kama Polisi na hospital zao

Yes... zipo hospitali za magereza lakini ni dispensary level na ndio maana wametaka clinical Officers pekee kwenye uganga
 
Wadau Hizi Kazii za Magereza naonaa Wamesemaa Wanahitaji watuu Wa afya Diplomaa ,,Je Magereza Wana Hospital zao ??Inakuaje hapo Wakurugwa mnisaidie Ni kama Polisi na hospital zao

Na dispensary zao zinakua ndani ya eneo la magereza kwa nilizoziona.
 
3a40406f-9cec-4fde-892b-e2c8db775386.jpg

5549ee6a-f3fb-452e-8b29-0c9860555a9b.jpg

4a229a68-b52e-4035-a929-47935953a318.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom