Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Vijana vazi la Askari la kiraia ni tshirt/Jersey/traki msiende kwenye usaili mkiwa mmechomekea suruali ya kitambaa na shati na moka hili vazi waachieni raia wa saili za kiraia.

Utarolishwa au kukimbiza upepo na suti yako uone jeshi gumu.

Jeshi siyo kiwanda cha NOVIDA au kampuni ya Vodacom.

Hahahahaha hahahahahahahahah dah nimecheka sana mkuu...bora umefumbua watu macho asee kuhusu ilo swala la mavazi
 
haya wazalendo aka makuruta nawapa ronja za written
.kwanza jua makundi yote ya kigaidi duniani
.mambo ya karenti isue
.kazi/majukumu ya polisi
.nafasi ya polisi ktk jamii
.Nafasi ya Polisi kama Jeshi la vita

ukija oral
.kwanini unataka kua poti
.kwa taaluma hako utasaidia nini chomboni
.jua jua mambo na majambo ya kitaifa na kimataifa
.konfidensi pia ni mbanga
 
Kwani si wamesema wanataka almost Failures Sasa madudu yote haya ya Nini..?? Hizi ni sababu tu za kuwanyima.

Unaenda kuanza Chekechea kwenye usahili unapewa mtihani wa mwandiko, shenzi Sana si bora wa waambie madogo ukweli halisi.

Mtoto wa polisi huku mtaani kanyimwa na baba yake akiwepo kituo husika vp ww huna hata ndugu mzabuni hapo
 
Vijana vazi la Askari la kiraia ni tshirt/Jersey/traki msiende kwenye usaili mkiwa mmechomekea suruali ya kitambaa na shati na moka hili vazi waachieni raia wa saili za kiraia.

Utarolishwa au kukimbiza upepo na suti yako uone jeshi gumu.

Jeshi siyo kiwanda cha NOVIDA au kampuni ya Vodacom.
Hahahahah Mkuu bwana...Kwani Huko si Usaili tu na unaambiwa Usaili lazima uwe smart Sasa shida ni wapi? Hata kama ukienda umependeza na ukachafuka si ndio utafutaji huoo kaka
 
haya wazalendo aka makuruta nawapa ronja za written
.kwanza jua makundi yote ya kigaidi duniani
.mambo ya karenti isue
.kazi/majukumu ya polisi
.nafasi ya polisi ktk jamii
.Nafasi ya Polisi kama Jeshi la vita

ukija oral
.kwanini unataka kua poti
.kwa taaluma hako utasaidia nini chomboni
.jua jua mambo na majambo ya kitaifa na kimataifa
.konfidensi pia ni mbanga
mkuu kumbe kuna written na oral?
 
Hivi Kwa waliotuma maombi kupitia Kwa RPC kwenda Kwa IGP wale wenye elimu ya shahada,stashahada n.k ndo hao wameitwa kwenye usaili siku ya kesho? Au hao WA kesho ni wa Kada za afya Tu?
 
Je wenye elimu kuanzia astashahada na kuendelea hamna atakaefanyia usaili mkoa husika alotumia kuomba? Wajuzi naombeni majibu
 
Hivi Kwa waliotuma maombi kupitia Kwa RPC kwenda Kwa IGP wale wenye elimu ya shahada,stashahada n.k ndo hao wameitwa kwenye usaili siku ya kesho? Au hao WA kesho ni wa Kada za afya Tu?
Angalia jina mzalendo, usaili ni wote kuanzia astashahada hadi shahada.

nimesikia wengi wenu mnaenda kulamba vyeo.. tukutane mkikaribia pass out.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom