Mtumaini Mungu
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 879
- 1,061
Tupeni lonja basi.. Hahahahah
Pambana upate shamba Ulime mkuu...Usiache kutumaini lakini Kama yako ipo ipo tuuHaha daah sa itakuaje sisi watoto wa wakulima
Tuonane gate la CCP 10/11 vijana wangu
Tupeni lonja tuishi
Hivi mtu akiwa ametoka meno yote ya mbele anaweza kupita kwenye usaili na Hana mtu wa kumshika mkono anategemea tu vyeti vyake.
Naombeni lonja katika hili
Hahahahaha, mkuu ushaipigia hesabu ile mipande ya minofu na lile sembe poriHahaha mkuu utashindwa kula nyama choma wewe,
Ipo ghetto ijia
Utakuwa hapo?Tuonane gate la CCP 10/11 vijana wangu
Vp usaili ulishafanya tayari mkuuTupeane tarehe rasmi ya kuondoka ..
Jeshini mapengo huchukuliwi,labda uyapatie kwenye ajira.Tupeni lonja tuishi
Hivi mtu akiwa ametoka meno yote ya mbele anaweza kupita kwenye usaili na Hana mtu wa kumshika mkono anategemea tu vyeti vyake.
Naombeni lonja katika hili
Kama kuna mtu wa kidato cha 4 na 6 ambaye yupo humu anasubiria lonja za majina kwaajili ya usaili asipoteze sana muda humu,awe anapita kwenye mbao za matangazo za ofisi za RPC au RC wa mkoa husika.
Wale wa Astashahada,Stashahada,Shahada mliotuma awali maombi yenu endeleeni kuvumilia majina yatoke pamoja na ya hawa waliotangaziwa kutuma jana maombi mpaka tarehe 29 ndiyo mwisho.
Aisee kumbe meno kigezo cha msingi sana.Jeshini mapengo huchukuliwi,labda uyapatie kwenye ajira.
Meno yana msaada mkubwa sana kwenye ubebaji wa vitu vizito kama ilivyo marinda,kwahiyo kama huna meno ya mbele wewe ni UNFIT.
Oktoba tarehe za mwanzo mwanzo mbivu na mbichi mtazijua..
Japo nasikitika kuwaambia vigezo vitawaangusha wengi sana watu wametuma maombi MM hata wasio na sifa,yaani mtu hana sifa hata moja labda sifa ya kuwa na Shahada au Stashahada,Astashahada tu.
Wapo walioandika barua zao kwa kuchapa kwa kompyuta,wapo walioambatisha vyeti vinatofautiana majina mfano mtu leaving ya kidato cha 4 anaitwa Anna Masesa ila cheti cha Shahada anaitwa Anna Richard Masesa,wengine barua za utambulisho hajaweka sasa hapo lazima upigwe chini tu.
Meno yanasaidia hata kwenye ulengaji wa shabaha..Aisee kumbe meno kigezo cha msingi sana.
Tupe lonja mkuu ili tuishi