Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kuna jamaa aliniambia et graduates watakaopita wakishamaliza kozi wanapangiwa vitengo vyao kulingana na fani zao...Mfano Doctor-hospitali za polisi kuna ukweli apo..??au utaratibu upoje
Ndio maana wasomi wanachukuliwa wachache wengi wanataka kula bata ikiwa hii kazi siyo ya bata,ndio Sababu ya kuwa na Askari wazembe waoga na vitambi vikubwa .mkuu wa majeshi inabidi atoe changamoto kwa vijana kuwapeleka hata Somalia Congo wakae vizuri Zaid kiuhalisia .

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Kuna jamaa aliniambia et graduates watakaopita wakishamaliza kozi wanapangiwa vitengo vyao kulingana na fani zao...Mfano Doctor-hospitali za polisi kuna ukweli apo..??au utaratibu upoje
Hospital ya police iko wapi na inaitwaje?
 
Kuna jamaa aliniambia et graduates watakaopita wakishamaliza kozi wanapangiwa vitengo vyao kulingana na fani zao...Mfano Doctor-hospitali za polisi kuna ukweli apo..??au utaratibu upoje
Vijana mliambiwa mtulie humu ndani
 
Haya vijana ambao hamjapita JKT na nyie mmekumbukwa mtume maombi yenu pia.
Screenshot_20210921-191131~2.jpg

Ila uwe na fani walizoziainisha hapo.
 
Hawa jamaa WANATUZINGUAA mbona wanatoa taarifa nusu nusu wanaturudisha nyumaaaa tuu
Hili halikuhusu,kama ulituma maombi mwanzoni basi hapa huna haja,wanatafuta hao wataalam maana inaonekana katika maombi yaliyotumwa awali wamekosa wataalam hao maana vigezo vilibana hasa suala la uwe umepita JKT sasa wamerudi uraiani kutafuta hao wataalam.
 
Hii ndio taarifa mpya kutoka kwenye Jeshi la Polisi Tanzania , Idadi ya Polisi waliofutwa kazi ni 7

Siku chache zilizopita tuliripoti tukio la Polisi wa Ileje kushambuliwa nchini Malawi na magari yao kuharibiwa baada raia wa Malawi kupinga askari wageni kuvamia nchi yao

Hii ni wiki ngumu sana kwa Polisi , huku haya yakitokea kule kwingine kuna PGO !

Thanks Quote Re
 
Septemba 15 askari Polisi wa Tanzania waliingia Malawi kinyume cha sheria wakimfukuza bodaboda waliyedhani amebeba biashara ya magendo ambapo walipoingia Malawi walipigwa mawe na wamalawi na kuokolewa na Polisi wa Malawi

Askari 7 wa Kituo cha Polisi cha Wilaya ya Ileje mkoani Songwe wamefukuzwa kazi kwa kosa la kuvuka mpaka na kuingia nchini Malawi wakiwa na mavazi ya kijeshi na silaha za moto kinyume na taratibu za kijeshi

Kamanda wa Polisi Mkoani Songwe Janeth Magomi amethibitisha tukio hilo

Thanks Quote
 
Wamestahili kabisa adhabu hiyo.Kuvuka mpaka wa nchi na kuingia nchi nyingine tena na silaha ni kutangaza vita kabisa.Somo la Uraia limewapita kushoto hao.
 
Hili halikuhusu,kama ulituma maombi mwanzoni basi hapa huna haja,wanatafuta hao wataalam maana inaonekana katika maombi yaliyotumwa awali wamekosa wataalam hao maana vigezo vilibana hasa suala la uwe umepita JKT sasa wamerudi uraiani kutafuta hao wataalam.
Hivi m naomba kuuliza kama umesomea psychology unaweza kuomba aise
 
Hili halikuhusu,kama ulituma maombi mwanzoni basi hapa huna haja,wanatafuta hao wataalam maana inaonekana katika maombi yaliyotumwa awali wamekosa wataalam hao maana vigezo vilibana hasa suala la uwe umepita JKT sasa wamerudi uraiani kutafuta hao wataalam.

Aaah nimeelewa sasa..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom